Binti akizungumza na bibi yake.

Jaguar

JF-Expert Member
Mar 6, 2011
3,438
1,025
[BINTI]:Bibi,hivi kwanini wanaume wanapotutongoza wanatupa zawadi nyingi kweli lakini tukishawakubalia hawatupi zawadi tena na wala hawatu thamini kama mwanzo? [BIBI]:Hahahahaaah!usinichekeshe mjukuu wangu,wewe tangu lini umewahi kuona mvuvi akimlisha samaki chambo mara baada ya kumvua kutoka mtoni,ziwani au baharini?
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom