Binti akiongea na babake kwa simu. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Binti akiongea na babake kwa simu.

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Jaguar, Jun 25, 2012.

 1. Jaguar

  Jaguar JF-Expert Member

  #1
  Jun 25, 2012
  Joined: Mar 6, 2011
  Messages: 3,409
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  {BINTI};Baba,"mimi nimempenda huyu mlinzi wetu hivyo nimeamua kutoroka naye ili tukaoane". {BABA};Kwenda zako huko,unafikiri nitasikitika,kwanza bora uondoke zako kwa sababu nimechoshwa na kashfa za umalaya wako uliokubuhu pale mtaani,pumbaf!. {BINTI};Baba hujanielewa,mimi nilikuwa ninanukuu maneno ya barua iliyoachwa na mama leo asubuhi mezani.
   
 2. SIM

  SIM JF-Expert Member

  #2
  Jun 25, 2012
  Joined: Oct 25, 2011
  Messages: 1,637
  Likes Received: 790
  Trophy Points: 280
  Dingi kakurupuka vibaya
   
 3. kijembeee

  kijembeee JF-Expert Member

  #3
  Jun 25, 2012
  Joined: Jun 6, 2012
  Messages: 411
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  familia ya machizi fresh iyo
   
Loading...