Yasivyokuwa na akili wala aibu hilo ndio la kwanza yatakalokuwa yamemfanyia huyo binti.Wasje wakambaka tu aisee
Tulia dogo, we subiri nguna iive hapo kwa bimkubwa.Nitoe ushauri tu hata kama hamtaki kushauriwa.
Ukitaka kufanya au kwenda kinyume na WATAWALA.. kwa kutumia TECHNOLOGY hasa social media etc basi hakikisha unakuwa ANONYMOUS. sasa ww ni mwanaharakati wa mtandaoni ila bado umejipost mara uweke namba za simu hapo hapo.. unategemea nini?
Sometimes wazee wa Spana mtumie akili..
Sasa kama hawazi kuuawa au kupotezwa.. mnaposti huku ili iweje? Si mkae kimya..?Tulia dogo, we subiri nguna iive hapo kwa bimkubwa.
Kuna chalii zimevurugwa na wala haziwazi kuuawa wala kupotezwa.
Hayo muulize aliyepost, mimi nimekuoa intro tu kua kuna watu hawajali kupotezwa wala kuuawa.Sasa kama hawazi kuuawa au kupotezwa.. mnaposti huku ili iweje? Si mkae kimya..?
Na mm nilimjibu aliyepost.. ww ukaingilia.Hayo muulize aliyepost, mimi nimekuoa intro tu kua kuna watu hawajali kupotezwa wala kuuawa.
Kutojali kwao hakuondoi kua wao ni binadamu na wana haki ya kuishi isiyopaswa kuondoshwa kwa namna yoyote isipokua kama hukumu ya kunyongwa, so kama hajahukumiwa kunyongwa basi ana hali ya kua hai.
Wewe tulia, nmeshakupa ushauri oga vizuri jitakase lotion š§“ mwili mzima, jipige maperfyumu halafu vaa bikini na kipensi, unga mb za jero kaa hapo kwenye sofa tulia.Sasa kama hawazi kuuawa au kupotezwa.. mnaposti huku ili iweje? Si mkae kimya..?
Duh...š¤£Wewe tulia, nmeshakupa ushauri oga vizuri jitakase lotion š§“ mwili mzima, jipige maperfyumu halafu vaa bikini na kipensi, unga mb za jero kaa hapo kwenye sofa tulia.
Ndio hapo sasa wewe umenielewa, yeye akae atulie hii shoo haimuhusu.Duh...š¤£
Akifanya ulivyomshauri ni vyema.
Ila kama ameelewa tafsiti.
Huyu jamaa anaonekana ana hofu halaf mwoga kuliko woga wenyewe.
Mambo kama hayawezi yeye atulie huko aache wanaume wafanye yanayowahusu.
Yowe ya nini wakati msiba haukuhusu.
AiseeeeeWewe tulia, nmeshakupa ushauri oga vizuri jitakase lotion š§“ mwili mzima, jipige maperfyumu halafu vaa bikini na kipensi, unga mb za jero kaa hapo kwenye sofa tulia.
Kuna sheria za kuhukumu watu kwa makosa waliyotenda, sio kutekwa wala kuuawa.Na mm nilimjibu aliyepost.. ww ukaingilia.
Sasa kama ww binafsi haujali uhai wako ndio atokee mtu pembeni akujali?
Ifike mahala akili itumike kuliko hisia... pia kukubali kujifunza kutokana na makosa. Hakuna popote hapa Duniani kuna UHURU. Uhuru wa kweli upo kaburini.
Sasa si uonyeshe mfano unamngoja nani? Kazi kujifanya shujaa huku umejifichašHivi watanganyika milioni 60 tunashindwa kumteka Abdul? Abdul atekwe mara moja.
Rais anataka raia wote wawe chawa? Hataki kupingwa? Kuna democracy kweli? Shankupe limejichokea yaani mbwa wake hao wanakateka hata kabinti kama haka? Hilo libibi lazima litakuwa ni lichawi sanaView attachment 3479971
Utaishauri nini familia ya huyu binti ikuelewe isiingie barabarani kudai haki?