Tetesi: Binti aitwaye Farida ametekwa

Tetesi: Binti aitwaye Farida ametekwa

comrade_kipepe

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2019
Posts
6,456
Reaction score
11,517
Kwa wanaomfuatilia alikua anahamasisha maandamo na pia alikua anaikosoa serikali, binti mdogo sana huyu sijui atarudi au ndio basi tena

Screenshot_20250927_081423_Instagram.jpg

Screenshot_20250927_081444_Instagram.jpg

KAMA MNASOMA HII MLIENAE HUYU BINTI TUNAOMBA MSIJE MKAMBAKA TUU NA KUMUINGILIA KINYUME NA MAUMBILE HUKU MKIMREKODI MAANA TUNASIKIA NDIO MICHEZO YENU.
 
Nitoe ushauri tu hata kama hamtaki kushauriwa.

Ukitaka kufanya au kwenda kinyume na WATAWALA.. kwa kutumia TECHNOLOGY hasa social media etc basi hakikisha unakuwa ANONYMOUS. sasa ww ni mwanaharakati wa mtandaoni ila bado umejipost mara uweke namba za simu hapo hapo.. unategemea nini?

Sometimes wazee wa Spana mtumie akili..
 
Ukishaona hivyo Watu washavurugwa hawaogopi tena sio kama zamani,
 
Sasa lengo halitatimia kwa style hiyo..

Stay anonymous piga spana zako, tulia.

Ukijianika hivyo wanakubeba kama Kuku.
Hiyo kupiga spana umeiweka vibaya inakua kama mtu anasema uongo, sema SEMA UKWELI WAKO HALAFU TULIA, halafu mwanaume unakuaje muoga hivyo unazidiwa hadi na wanawake? Kama wewe umeshindwa kaa nyumban oga utakate ukae kwenye sofa upake na manukato halafu subiri usaidiwe na watoto wa kike.
 
Unaomba? Huu ndo ujinga wa watu mnaosubiri kuandamana hadi tarehe 29 kwanini watu wasiandamane sahivi? alafu unasema unaomba wasimbake nyie ndo wale mijitu mioga iliyojaa mtandaoni mnapiga mikwara ila yakiitishwa maandamano hamtoki sasa hata wakimfanya chochote kati ya hayo uliyoyasema utafanya nini? Kama kuandamana huwezi?

Mdude kapotea, soka kapotea ila tayari mmeshawasahau na ni juzi tu, kama kweli nia ya maandamano ipo ilitakiwa ianze sasa laa sivyo ukijijua huna ujasiri wa kujitoa kuandamana na mtandaoni kaa kimya laa sivyo mwisho wako unaweza kuwa kama huo wa kutekwa na hamna mtu atakaetoka kuandamana kwaajili yako kwasababu mitandaoni wamejaa wanafikiki hawawezi kuandamana hata hatua 10 kwaajili yako, wako kwaajili ya kutafuta comments na likes.

Na mkiendelea na unyumbu huu mwisho wenu wote utaishia kutekwa laa sivyo muandamane sasa hivi bila kuogopa chochote
 
Unaomba? Huu ndo ujinga wa watu mnaosubiri kuandamana hadi tarehe 29 kwanini watu wasiandamane sahivi, alafu unasema unaomba wasimbake nyie ndo wale mijitu mioga iliyojaa mtandaoni mnapiga mikwara ila yakiitishwa maandamano hamtoki sasa hata wakimfanya chochote kati ya hayo uliyoyasema utafanya nini? Kama kuandamana huwezi?

Mdude kapotea, soka kapotea ila tayari mmeshawasahau na ni juzi tu, kama kweli nia ya maandamano ipo ilitakiwa ianze sasa laa sivyo ukijijua huna ujasiri wa kujitoa kuandamana na mtandaoni kaa kimya laa sivyo mwisho wako unaweza kuwa kama huo wa kutekwa na hamna mtu atakaetoka kuandamana kwaajili yako kwasababu mitandaoni wamejaa wanafikiki hawawezi kuandamana hata hatua 10 kwaajili yako, wako kwaajili ya kutafuta comments na likes.

Na mkiendelea na unyumbu huu mwisho wenu wote utaishia kutekwa laa sivyo muandamane sasa hivi bila kuogopa chochote
Hii point kubwa sana, natokea Bagamoyo road huku tukupitie wapi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom