Binti mmoja leo jioni amekutwa amefariki ndani ya moja ya vyumba vya gesti moja iitwayo Mkomboni maeneo ya kinondoni mkwajuni,tukio hilo lilitokea baada ya wahudumu wa gesti hiyo kuona mwanaume ambaye aliingia na huyo binti anachelewa kurudi,toka aliposema anaenda kumchukulia chakula mpenzi wake,ndipo walipokutana na maiti hiyo ikiwa imelala kitandani,na mkoba wake ukiwa hauna kitu zaidi ya kitambulisho cha chuo,sikufanikiwa kujua ni wa chuo gani wala jina lake marehemu.maiti imechukuliwa na polisi kwa uchunguzi zaidi.View attachment 23721
Mjukuu hivi kuna umri ukifika hutongozwi tena?RIP
But ningependa kuwaasa kizazi cha sasa (wale ambao bado mnatongozwa) Si kila mtongozaji anania njema na wewe.........wengine vibaka, wengine washirikina wametumwa nyweke ya mwanamke ili wapate utajiri, wengine maserial kilaz so be careful
Wanavyuo ndio wateja wakubwa wa Guest House!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Msiwe na haki kupita kiasi!!!!!!!waachen wafu wazike wafu wao@@@@
Msiwe na haki kupita kiasi!!!!!!!
Inawezekana kabisa maana dunia ya sasa haiaminiki.....RIP binti..Usione watu wanaendesha VX wengine ni through that means, take care, waganga wa kienyeji ndani ya kazi.
Binti mmoja leo jioni amekutwa amefariki ndani ya moja ya vyumba vya gesti moja iitwayo Mkomboni maeneo ya kinondoni mkwajuni,tukio hilo lilitokea baada ya wahudumu wa gesti hiyo kuona mwanaume ambaye aliingia na huyo binti anachelewa kurudi...........
Asee Kimey, we subiri bana, ukishatoka House na kuingia Home utajua tu!!Mjukuu hivi kuna umri ukifika hutongozwi tena?