Bint Makamba

Status
Not open for further replies.
Mtoa mada na mie naungana na wewe Mwanvita makamba alipendeza kuliko hata mamiss wenyewe

lol

Hapo hamna kitu...anasaidiwa na hela zake tu angekuw huku uswahilini kwetu ambako tunatumia vipodozi vya 500 na tunavaa nuo za bukubuku angekuwa hovyo kabisa...sioni kama ana urembo wowote, soamahani kwa kuwakwaza wale wanaomfagilialk mimi sijaona kinacomfanya mumfagilie...beauty is subjective!!!!

nilichosema nguo yake na makeup ilifunka sku hyo,cjaongelea kwa sku nyngne

Ah hakuna kitu hapo zaidi ya makemikali kujikoboa usoni mpaka mdomoni, uliona wapi mwaafrika kuwa na mdomo mwekundu hivyo? Mh huo mdomo kama nanii

Ah hakuna kitu hapo zaidi ya makemikali kujikoboa usoni mpaka mdomoni, uliona wapi mwaafrika kuwa na mdomo mwekundu hivyo? Mh huo mdomo kama nanii

tumesema gaun yake ilifunka,mambo ya midomo hyo lipstk,acha wivu wa kike

Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni...Ana umbo zuri sana ambalo wasichana wengi wadogo wameshindwa ku-maintain achilia mbali walioshazaa kama yeye.

Hapo yuko ''dede''....mtoto wa kiislamu mbele ya watoto wa kiislamu

002[3].jp.JPG

Mkuu umegonga kwenye bull!!

Nilifkiri kaachana na mumewe mzungu na sasa ana mume mpya balozi wa Arabuni au kitu kama hicho

Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom