bingwa wa kuoga...

bingwa wa kuoga...

kabanga

Platinum Member
Joined
Dec 12, 2011
Posts
37,649
Reaction score
19,042
attachment.php


hii inakuwaje hapo...?
 

Attachments

  • jaws[1].jpg
    jaws[1].jpg
    30.7 KB · Views: 1,688
Kabla hajafika katika midomo ya Samaki keshakufa tayari kwa kihoro
 
enzi zangu hapo muda mrefu sana nshajigeuza na kurud nilipotoka au naform my own flyovers.
 
Unamuita mama njooo,,,wakati bi mkubwa yuko home katulia katu
 
Kama hamjawahi ona mtu ana defy law of gravity hapo utaona, jamaa anaweza kuahirisha hapo na kupaa juu... mi mwenyewe nishawahi fanya hivyo

ha ha ha only in sumbawanga
 
Hehehehe
hapo unakubali matokeo na kutumia sekunde chache zilizosalia kutubu
 
Hahahahahahaha,jamani!QUOTE=Baba V;5850005]Kama hamjawahi ona mtu ana defy law of gravity hapo utaona, jamaa anaweza kuahirisha hapo na kupaa juu... mi mwenyewe nishawahi fanya hivyo[/QUOTE]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom