Hata mimi nakuunga mkono ndugu, unajua Afrika pamoja na Tanzania tunapoteza Asili yetu kwa kuwafuata hawa Wazungu , kuwanyeyekea na kuwatii kana kwamba kila wanachokifanya kiko sahihi 98% kumbe sio!. Kumuoa binamu yako ni sahihi coz hata mila la Tanzania zinaruhusu ufanye hivyo labda nyie wenyewe mshindwe tu kufikia maamuzi ya kukaa pamoja kama mke na mume. Narudia tena kwamba ni halali kuomua au kuolewa na Binamu yako. Tafakari kwa kina na Uchukue maamuzi sahihi, sisi ni washauri tu ila maamuzi ni yenu nyie wawili.
Basi ww unanifaa mtu kama mm.. sio vitoto vidogo.. mtu mzima atleast 30 yrs hv.. ndio anawasha engine yako to full power...!! Hao vivulana watakugusa gusa tu..