sasa ushauri gani tena hapa anataka, ni kupotezeana muda tu kaka
Kama wanapenda waendelee tu kama vipi wahame mkoa..wakaanze maisha upya kwani kuna makabila mengine hufanya hivyo...
Hapo mkuu hujamalizia usemi huo,wanasema binamu nyama ya hamu,Ukiikosa jilaumu.Hao wawili waoane tu haya mambo mengine ya undugu sijui nini yanaletwa na wivu wa wanandugu tu.Mimi kabla sijaanza kuwa do mabinamu zangu nilifikiria kuwa binamu hatakiwi kuguswa kabisa,lakini akatokea binamu aliyekuwa mkubwa kwangu kwa miaka kama 3 hivi,akanifundisha mchezo huo,basi we!kuanzia wakati huo safari za kutembelea wajomba zilikuwa haziishi na wenyewe wala walikuwa hawana mgogoro.
wengi hutengwa hasa kama ni vijijini na ogopa kutegwa vijijini utakoma...wakihama wakaenda kuanza maisha yao sehemu nyingine itawasaidia sana hata kisaikolojia wao na wazazi wao......Hawana sababu ya kuhama mkoa mapenzi yao yana sababu na kama wanajua wanachokifanya waendelee tu
Hapo mkuu hujamalizia usemi huo,wanasema binamu nyama ya hamu,Ukiikosa jilaumu.Hao wawili waoane tu haya mambo mengine ya undugu sijui nini yanaletwa na wivu wa wanandugu tu.Mimi kabla sijaanza kuwa do mabinamu zangu nilifikiria kuwa binamu hatakiwi kuguswa kabisa,lakini akatokea binamu aliyekuwa mkubwa kwangu kwa miaka kama 3 hivi,akanifundisha mchezo huo,basi we!kuanzia wakati huo safari za kutembelea wajomba zilikuwa haziishi na wenyewe wala walikuwa hawana mgogoro.
That's too personal, lakini wanazidi watano.Umeshawatafuna binamu zako wangapi?
kwa makabila ya Tanga hasa wadigo wanajua kuwa swala sio ubinamu tu kuruhusiwa kuoana hata mtoto wa baba mkubwa na baba mdogo au mama mkubwa na mama mdogo wanaruhusiwa kabisa kufunga ndoa. Tena zipo nyingi tu watu wamefunga na ushahidi wa hili ninao.