heartbeats
JF-Expert Member
- Feb 10, 2014
- 8,019
- 13,270
Tafuta nida jombaa tunapoelekea hata hospitali bila Nida utotoboa maana mifumo yote inawekwa ktk kitambulisho, ata polisi utakuwa upokelewi bila Nida
online NIDA processing???Wakuu mi binafsi sina namba ya NIDA lakin nina passport ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Na nimeshasafiri nchi zaidi ya 35. Asa wakuu wa jf mnaniweka kwenye kundi gani? Mnipe mchongo wa kupata namba ya NIDA online mana mi mambo ya kupanga foleni kusubiri masaa siwezi kabisa.

Mngese wewe mbwa kabisaMuongo baba ako! Tafuta exposure ache kujifanya unajua angali hujui!!
Mimi ninashida ya kubadilisha majina unaweza kunisaidia unipe na namba zakoAndaa 300k J5 ijayo kitambulisho unapata chaap
kwaiyo wew na yule ex wa manara mpo ngoma droo au?Wakuu mi binafsi sina namba ya NIDA lakin nina passport ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Na nimeshasafiri nchi zaidi ya 35. Asa wakuu wa jf mnaniweka kwenye kundi gani? Mnipe mchongo wa kupata namba ya NIDA online mana mi mambo ya kupanga foleni kusubiri masaa siwezi kabisa.
Yani laki tatu auAndaa 300k J5 ijayo kitambulisho unapata chaap
Naomba nitag kwenye huo uzi.kuna jamaa kaleta uzi jana humu ndani anatoa huduma ya kutengeneza nida na makorokoro mengine mengi.