- Thread starter
- #21
Kwamba sio watanzania halisi au kuna jingine?Nawakumbusha msidate na watu wasiokuwa na namba za nida 😂
Kwamba sio watanzania halisi au kuna jingine?Nawakumbusha msidate na watu wasiokuwa na namba za nida 😂
Nimepata passport kabla NIDA haijaanza mkuuUmepataje passport bila NIDa
Mpaka sasa bado sijawahi kukwamaTafuta NIDA, unless utakwama mengi sana
Mtanzania juu ya miaka 18 unakosaje nida?Kwamba sio watanzania halisi au kuna jingine?
Kwa hiyo kumuita manara unataka ku-cover nafasi ya zayljsaWakuu mi binafsi sina namba ya NIDA lakin nina passport ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Na nimeshasafiri nchi zaidi ya 35. Asa wakuu wa jf mnaniweka kwenye kundi gani? Mnipe mchongo wa kupata namba ya NIDA online mana mi mambo ya kupanga foleni kusubiri masaa siwezi kabisa. Cc hajimanara
Hivi passport na NIDA ipi ina umuhimu sana?Mtanzania juu ya miaka 18 unakosaje nida?
Nipo humu humu kwa mama!Mwenzetu uko Tanzania hii hii??
NIDAHivi passport na NIDA ipi ina umuhimu sana?
Babyacha
Nambie mchumba wangu baby la mababyBaby
Basi labda bado unaishi kwa shemeji hauna mambo mengi. Kuna maeneo huwezi kutoboa bila NIDAMpaka sasa bado sijawahi kukwama
Hiyo ukuunganishiwa umeme tu bila nida utoboiBasi labda bado unaishi kwa shemeji hauna mambo mengi. Kuna maeneo huwezi kutoboa bila NIDA
1. Ardhi
2. Kufungua account
3. Kununua bond
4. Kusajiliwa kwenye mifumo ya serikali
Nnavyo ivyo vyote isipokuwa ya tatu! Account ya bank nilifungulia nikiwa nje ya Tanzania.Basi labda bado unaishi kwa shemeji hauna mambo mengi. Kuna maeneo huwezi kutoboa bila NIDA
1. Ardhi
2. Kufungua account
3. Kununua bond
4. Kusajiliwa kwenye mifumo ya serikali
Hiyo nyumba uliijenga mwaka ganiNina nyumba namiliki na nina account ya bank. Account ya bank nilifungulia nikiwa nje ya Tanzania.
Dah basi ngoja nijitahidi niipateNIDA
sina namba ya nidaNambie mchumba wangu baby la mababy
utatumia ya kwangusina namba ya nida