mkabasia
JF-Expert Member
- Mar 11, 2014
- 3,038
- 2,740
Umeniwahi🤔🤔Muone haji manara
Umeniwahi🤔🤔Muone haji manara
Nilipata passport kabla mambo ya NIDA hayajaanza mkuu!
Inaexpire 2036Haija expire tu?
Muongo baba ako! Tafuta exposure ache kujifanya unajua angali hujui!!Wewe ni muongo mpuuzi sana. Passport ya zamani ilikuwa haihitaji NIDA sababu ilikuwa unapiga finger print tu but baada ya kuletwa system ya NIDA uhamiaji walibadili passport so hata sisi ambao tulikuwa nazo ambazo hazijaisha ililatulazimu kuzirudisha na kupewa mpya ambazo zimeunganishwa na system ya NIDA SO ACHA UONGO WA KITOTO.
unaikimbuka title ya huo uzi mkuu tu mtafute uyu winga atusaidie wazembekuna jamaa kaleta uzi jana humu ndani anatoa huduma ya kutengeneza nida na makorokoro mengine mengi.
Basi msigombane rafiki zangu .Muongo baba ako! Tafuta exposure ache kujifanya unajua angali hujui!!
Fanya hivyo mkuuDah basi ngoja nijitahidi niipate
Mara baada ya passport ya kielektronic kuanzishwa ni lazima uwe na nida .Nilipata passport kabla mambo ya NIDA hayajaanza mkuu!
Passport za zamani kabla ya nida zote hazitumiki kwa sasa .Nilipata passport kabla mambo ya NIDA hayajaanza mkuu!
Line ya simu unayotumia ni ya nani? Kama NIDA hunaWakuu mi binafsi sina namba ya NIDA lakin nina passport ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Na nimeshasafiri nchi zaidi ya 35. Asa wakuu wa jf mnaniweka kwenye kundi gani? Mnipe mchongo wa kupata namba ya NIDA online mana mi mambo ya kupanga foleni kusubiri masaa siwezi kabisa.
Wewe utakuwa unavunja sheria kupitia sheria ya Mawasiliano na Posta. Unatumia namba iliyosajiliwa na mtu mwingine. Unatakiwa kuwa Segerea kwa sasa kwa kutumia namba ya Simu ambayo imesajiliwa na mtu mwingine. Na nimakosa pia kumsajilia mtu namba ya Simu.Acha uongo mkuu ili kupata hii passport ya kielectronic nida lazimanida
Andaa 300k J5 ijayo kitambulisho unapata chaapNipe link ya uzi mkuu
Wewe utakuwa unavunja sheria kupitia sheria ya Mawasiliano na Posta. Unatumia namba iliyosajiliwa na mtu mwingine. Unatakiwa kuwa Segerea kwa sasa kwa kutumia namba ya Simu ambayo imesajiliwa na mtu mwingine. Na nimakosa pia kumsajilia mtu namba ya Simu.
Huo sio ujanja. Kisa tu hutaki kupanga foleni.
Kuna baadhi ya siku, ofisi za Nida huwa hazina wateja wengi, kiasi cha kupelekea mtu kupata huduma ndani ya 20dk tu.
Mwaka 2013 niliwahi kumhudumia TZA Business Tycoon Bakhresa, akiwa kwenye foleni, na tulipojaribu kumpa kipaumbele ili aweze kuwahi, hakutaka. Alisubiria hadi awamu yake ikafika, akapata huduma na kuondoka zake.
Sasa iweje kwa mtu wa kawaida tu, usiyefahamika unashindwa kupanga foleni ili kupata huduma!?
Hawa ndio wale wajingawajinga wanaosajiliwa laini , laini ikipotea anatafuta mtu mwingine amsajilie laini nyingineLine ya simu unayotumia ni ya nani? Kama NIDA huna
Passport muda wake ni miaka 10 sasa hiyo ya kwako ya kuja kuexpire 2036 ni kwamba bado haijatoka.Inaexpire 2036
! !Wakuu mi binafsi sina namba ya NIDA lakin nina passport ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Na nimeshasafiri nchi zaidi ya 35. Asa wakuu wa jf mnaniweka kwenye kundi gani? Mnipe mchongo wa kupata namba ya NIDA online mana mi mambo ya kupanga foleni kusubiri masaa siwezi kabisa.
Asante sana mkuu kwa kunipa mwangaza! Katika wote waliokomenti wewe ndo umenipa mwangaza! Ubarikiwe!Habari!
Fomu ya nida unajaza online, baadae ya hapo, utaenda uhamiaji, then nida kukusanya fomu yako, utachukulia alama za vidole na picha, ndani yawiki 1 Hadi 2, utatumies namba yako ya nida kupitia normal msg, then kitambulisho kikitoka, utajulishwaa pia kwa ujumbe mfupi, msg. Ni simple Sana mkuu, siku hizi wameboresha Sanaa
NB: sijajua Kama wanaweza kuunganisha biometric zako za passport na nida ili kuskip, vipimo vidole vya nida na ulazima wa kwenda uhamiaji...anzia online nida, majibu utapata mkuu
! !
Tatizo lako ni uongo pasport ina expire kila baada ya miaka kumi sasa kama wew ya kwako ina expire 2036 thats mean unapswa kuivhukua 2026 .ki ufupi hujielewInaexpire 2036