Binafsi sina namba ya NIDA

Binafsi sina namba ya NIDA

ntuchake

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2024
Posts
437
Reaction score
1,614
Wakuu mi binafsi sina namba ya NIDA lakin nina passport ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Na nimeshasafiri nchi zaidi ya 35.

Asa wakuu wa jf mnaniweka kwenye kundi gani?

Mnipe mchongo wa kupata namba ya NIDA online mana mi mambo ya kupanga foleni kusubiri masaa siwezi kabisa.
 
Wakuu mi binafsi sina namba ya NIDA lakin nina passport ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Na nimeshasafiri nchi zaidi ya 35. Asa wakuu wa jf mnaniweka kwenye kundi gani? Mnipe mchongo wa kupata namba ya NIDA online mana mi mambo ya kupanga foleni kusubiri masaa siwezi kabisa. Cc hajimanara
Umepataje passport bila NIDa
 
Kundi la watu wa mchongo
 
Back
Top Bottom