johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,158
- 142,250
Ile dhana ya akina Pilepole kutuletea kina Mwita Waitara kwa kigezo cha kuunga mkono juhudi sikuikubali kabisa na nilisema wazi ni heri watu hao wakaitumikia CCM wakiwa huko huko upinzani kama alivyofanya Shibuda na Mrema
Hii ya Rais Samia kukutana na wapinzani mara kwa mara na kuweka makubaliano ya kushirikiana wakiwa kwenye vyama vyao naiunga mkono kwa 100%
Mungu wa mbinguni ibariki CCM!
Hii ya Rais Samia kukutana na wapinzani mara kwa mara na kuweka makubaliano ya kushirikiana wakiwa kwenye vyama vyao naiunga mkono kwa 100%
Mungu wa mbinguni ibariki CCM!