DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 31,636
- 81,533
🍂🍂🍂
Fanya kazi acha njaa na utapeli kijana. IDs zako zilikamatika hapa ukijaribu kahadaa watu na kuwatapeli.
Acha uchawa, acha njaa, Fanya kazi
Stop online scam, work hardSay no demonstration protect ur life
nakaziaFanya kazi acha njaa na utapeli kijana. IDs zako zilikamatika hapa ukijaribu kahadaa watu na kuwatapeli.
Acha uchawa, acha njaa, Fanya kazi
SAY NO DEMONSTRATION , PROTECT UR LIFEStop online scam, work hard
Matapeli mnahangaika mnoKama kuna nyumbu anabisha basi kesho tarehe 25 ajaribu kuandamana kama walivyopanga
kunaidadi kubwa ya vijana walemavu wa akili kulinganisha na walemavu wa viungo
Unaishi maisha magumu dogoSAY NO DEMONSTRATION , PROTECT UR LIFE
utahifadhi screenshots zangu kwenye Gallery yako hadi ijae
Nayapenda Sana hayo MAISHA MKUUUnaishi maisha magumu dogo
Nilitegemea namba 3 ningeona wazazi wako. Hivi huwa mnapewa nini kikubwa hasa hadi kutukuza binadamu wenzenu kiasi hicho? Au mnapewa mishahara na posho kufuru labda.
Nyumbu utahifadhi screenshots zangu kwenye Gallery yako hadi ijae
Wacha upumbavu wewe! Hiyo ni kufuru sana huwezi kumlinganisha Yesu na hiyo takataka!
Niko hapa kuanika utapeli wakoutahifadhi screenshots zangu kwenye Gallery yako hadi ijae
Huyu atakutapeliKaka hili deal usile peke Ako kaka kula japo na Mimi maisha yangu madeni mengi nahitaji 10m nijikwamue tenaaa.. hapa maana ka IST KANGU NIMEUZA HAPA SIKUIZI NAGOMBEA DALADALA..HII CONNECTION ULIYO PATA MIMI PIA NAWEZA KUIFANYA☺️😊
HII TAGS NAIWEZA SANAA SANAAAAAA NIPE DEAL 🤝 NIANGALIE KWA JICHO LA MAMA NA MTOTO NIINGIZE KWENYE HII CONNECTION NA MIMI WALAU NIJIKWAMUE MSILE PEKE ENU NAOMBA HII CONNECTION,☺️😊