Binadamu wa Leo

Binadamu wa Leo

Bujibuji Simba Nyamaume

Platinum Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
79,003
Reaction score
168,542
431356_10151418869983792_1518920754_n.jpg
 
Ndivyo ilivyo na hasa ukiwa una rafiki mwandishi wa habari,usitegemee atakuokoa unapokuwa unazama au unapata shida yeyote zaidi sana atakuwa bize kuchukua matukio ya kuripotia habari.dahhhhhhh!!!!!!!!!
 
Usitegemee msaada kutoka kwa waandishi wa habari wala polisi, yaani kila kitu kwao ni hela tu
 
Akisogea karibu zaidi, watazama ktk mifuko yake.
 
Mkuu Safari-ni-Safari kweli umetisha!
kweli watu wamepinda siku hizi..
Picha inafundisha sana:

"The question is not what you look at, but what yousee."
 
Wanaogopa kwenda polisi kuisaidia polisi !
 
A bystander effect, nobody feels like assuming the responsibility
 
Back
Top Bottom