Binadamu ndio tumefika hapa.......kweli.....?

Binadamu ndio tumefika hapa.......kweli.....?

Daah.. Hivi Unajua binadam anaroho ngumu sana!! Sijawahi ona mtu akipata adhabu kama hii live. Unachoma watu kama unachoma taka!!!

Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
 
Preta mambo gani haya ya kutiana hamu na kubaniana tena? Hebu tuletee bana! 🙂
 
Last edited by a moderator:
Preta mambo gani haya ya kutiana hamu na kubaniana tena? Hebu tuletee bana! 🙂

ipo my dear.....mbona dabluz kaona.....sijui kwa nini haitaki kuonekana vizuri.....
btw.......ulikuwa wapi siku nyingi sijakuona.........?
 
Last edited by a moderator:
4510796-3x2-940x627.jpg
 
ipo my dear.....mbona dabluz kaona.....sijui kwa nini haitaki kuonekana vizuri.....
btw.......ulikuwa wapi siku nyingi sijakuona.........?

Naona nimepitwa hadi basi kutoona. Nitajaribu kwa browser nyingine ama tu nimuombe Dabluz anikaribishe tutumie yake.

Nakuwepo kama sipo vile, mambo yanabana hadi basi. But I really miss it. Nafurahi kukuona hapa Dear.
 
Back
Top Bottom