Yani mtu yupo tayari akupoteze katika gem mazima.Yalinikuta....mama mmoja kazini analazimisha hela watu tuchange ili aende Bagamoyo kumroga boss.
Mie nilikataa..ikawa ni vita mbaya sana.
Hata hivyo nilikuja kupata story kwamba kule Bagamoyo walienda na mbuzi..mganga akawaambia huyu boss yeye alichinja ngamia kwa hiyo mbuzi hatoshi.
Wanawake ni ovyo sana huku makazini hasa halmashauri, maneno mengi umbeya, figisu fitina, kazi kupiga hamna, kila siku ni excuses za kwenda kulea watoto nyumbani, naomba mungu nihepushwe kufanya kazi na manamake yana tabu sana.Haiwezekani mtu sili kwako, hunipi msaada wowote, sina ukaribu wowote na wewe hizi chuki, fitina, figisu zinatoka wapi? Uwepo wangu kazini wewe unapungukiwa nini?
Tuheshimiane jinsia ya kike kazini upuuzi tupu. Mwenye masikio na asikie sitaki mazoea
Sent from my TECNO PR651H using JamiiForums mobile app
Ukiingia kwenye 18 zao unaliwa kichwa mkuu. Na wanapenda ushirikina balaaWanawake ni ovyo sana huku makazini hasa halmashauri, maneno mengi umbeya, figisu fitina, kazi kupiga hamna, kila siku ni excuses za kwenda kulea watoto nyumbani, naomba mungu nihepushwe kufanya kazi na manamake yana tabu sana.
Kweli kabisa maana sijawahi ajiriwa na chanzo kilikua kutotaka kunyenyekea au kuyumbishwa kwa mambo ya ajabu ajabu. Napenda sana kuwa huru. Naweza amka alfajiri nikakaa pale ferry na kuanza kuangalia watu wanavyokimbizana makazini wengine sura zao hazina furaha na ni asubuhi kabisa. Kuna dada mmoja white lazima apite na pantoni ya kwanza muda mwingine akisikia honi ile anakimbia kabisa yaani hayo mambo yanaukwaza sana moyo ila xha msingi mtu aingize chochote mfukoni utumwa au karaha zinafutwa na pesa unayopata. MUNGU ANAWAPIGANIAMkuu ujakutana na situation wewe sure nakuambia omba usipitiwe na huu upuuzi
Balaaa, tupu tunakaza sana lakini kuna wakati wanakuja wanakusakaWanawake makazini ni kisanga
Wanawake ubinafsi unawasumbua Sana ukiwatongoza shida usipowatongoza wakioa upo happy na hukosi kulipa bills zako Basi wanaanza ku-hate bila sababu.Balaaa, tupu tunakaza sana lakini kuna wakati wanakuja wanakusaka
Yani anakuchukia bila sababu dadeki walahi ukileta maneno unachomwa kwa boss huna kazi dahWanawake ubinafsi unawasumbua Sana ukiwatongoza shida usipowatongoza wakioa upo happy na hukosi kulipa bills zako Basi wanaanza ku-hate bila sababu.
Hawa Jamaa usithubutu kuongea nao habari yoyote senstive stay away with them.
Wape salamu tu inatosha nothing else.
Then nyie wanaume ndo mnasababisha yatokee yote haya kuwashobokea Hawa KE tena Sehemu za kutafta ugali so usikubali
Ni kweli kamanda wengine wanatoka na wakuu wa idara , kufanya kazi na hizi jinsi kunaitaji neema ya mungu ndio maana huwa naamua kuwapelekea moto kwa hasira.Ukiingia kwenye 18 zao unaliwa kichwa mkuu. Na wanapenda ushirikina balaa
Ni MUNGU Tu aliyenipangia kuishi maisha bila kuajiriwaHongera upo self employed
Mtaani ukiwa na gari ndiyo utachukiwa mara 10 zaidiMaisha ya watu kuchukia watu sio kazini hata kwenye makazi pia ni hivyo hivyo wanapenda kuwaona watu wasiwe na mafanikio ndio marafiki zao mtu akipata mafanikio kidogo tuu zitaanza figisu na maneno maneno...
Mpaka ameandika humu, wahusika wapo humu humu wanasoma comments tuHii ulitakiwa uandike kwenye group la ofisini kwenu