Binadamu hatoweza kuishi nje ya Dunia, labda afanye hivi.....

Binadamu hatoweza kuishi nje ya Dunia, labda afanye hivi.....

Mtoa mada ulikuwa na hoja nzuri sana mwanzoni.
Ila ulivyokazania watu wajadili habari ya wachawi na majini badala ya sayansi ndio hapo supu ukaitia nazi.
Bado una nafasi hebu rudi tena uweke sawa hoja zako.
 
Mimi nitaenda katika nadharia ya kiroho. The first assignment kwa binadamu ilikuwa to dominate the earth. Baada ya Mungu kuumba dunia na kila kitu, alimuumba binadamu na akambariki na kumpa power ya KUTAWALA DUNIA.

Mwanzo 1:26

Kisha Mungu akasema, “Tumfanye mtu kwa mfano wetu, kwa sura yetu; atawale samaki wa baharini, ndege wa angani, wanyama wa kufugwa, dunia yote na viumbe vyote vitambaavyo.”

hii ina maana kwamba Mungu ali extend ufalme wa mbinguni na kuuleta duniani lakini anayehusiku kuutawala ni binadamu. Binadamu aliumbwa aishi na kutawala kila kitu duniani sio kwenye mars sala jupiter wala venus.

kwahiyo ni impossible kwa binadamu kuishi huko kwasababu Mungu hakuweka mazingira ya binadamu kuishi

Mungu wa ajabu sana. Alikuwa anaumba mazingira ya kitu flan kabla hajakiumba mfano

aliumba maji ndipo akaumba samaki na biumbe wote w majini. Hii inamasna kwamba alijua hawa viumbe wataisgi majini hivyo awaandalie mazingira.

NOTE
binadamu hawezi kuishi nje ya dunia
 
Naamini mko poa,kumekuwa na juhudi za mataifa mengi yaliyoendelea kisayansi na kiteknolojia za kuchunguza na kufatilia mambo ya anga za mbali ili pamoja na mambo mengine,lakini kubwa kuliko yote ni kuona kama kuna siku binadamu atahama hapa Duniani na kuweza kwenda kuishi ktk anga za mbali.

Mimi nasema haitowezekana ktk hali hii ya binadamu wa mifupa na nyama.Hebu tuangalie kwanini nasema hivo,kwa mfano tunaambiwa ili tuweze kufika ktk Nyota iliyo karibu yetu kabisa itakuchukua safari ya MIAKA 4.2 YA MWENDO WA MWANGA, sasa fanya hesabu hii hapa. Mwanga unasafiri kwa kasi ya Kilomita 1,080 milioni kwa saa = na miles 671 milioni kwa saa au ni sawa na kusema 186,000 per sec. Kwahiyo tufanye hivi, 671 milion miles per/hour x 24 x 365 x miaka 4 na miezi 2 = (jibu) ????.

Nadhani hapo mmeona jinsi hesabu za kukituma tu chombo kwenda kuchunguza ilivyo na ugumu,sembuse kupeleka binadamu ambaye anatakiwa kula kila baada si chini ya masaa 7 -12 na hiyo safari haina kupumzika sehemu ni non stop.Pia atakuwa anapitia ktk hali za hewa tofauti tofauti.

Mimi nadhani binadamu labda aanze kufikiria kuwahusisha viumbe wengine ktk azma yake ya kujua huko anga za mbali kukoje na kuna nini,kwa mfano labda kuwatumia majini au wanga na hata wachawi ili kufika huko kinyume cha hapo binadamu aondoe kichwani mwake kwamba ipo siku atafika huko.

Wewe unaonaje au unafikiriaje..... haya tiririka.

Mods washushe huu uzi !!!

Nan kakwambia anataka kwenda kwenye nyota
 
Ni kweli brain ndio kila kitu na ndio iliyoniongoza mimi kuandika uzi huu,na hata hilo ninaloliona ni matumizi mazuri sana ya brain yangu. Kwanini tunaendelea kusumbuka na vitu vyenye njia za mkato ......... Na lengo sio kuwa tumia vibaya.

We ubongo wako hauna kitu we ni kichwa wazi
 
Naamini mko poa,kumekuwa na juhudi za mataifa mengi yaliyoendelea kisayansi na kiteknolojia za kuchunguza na kufatilia mambo ya anga za mbali ili pamoja na mambo mengine,lakini kubwa kuliko yote ni kuona kama kuna siku binadamu atahama hapa Duniani na kuweza kwenda kuishi ktk anga za mbali.

Mimi nasema haitowezekana ktk hali hii ya binadamu wa mifupa na nyama.Hebu tuangalie kwanini nasema hivo,kwa mfano tunaambiwa ili tuweze kufika ktk Nyota iliyo karibu yetu kabisa itakuchukua safari ya MIAKA 4.2 YA MWENDO WA MWANGA, sasa fanya hesabu hii hapa. Mwanga unasafiri kwa kasi ya Kilomita 1,080 milioni kwa saa = na miles 671 milioni kwa saa au ni sawa na kusema 186,000 per sec. Kwahiyo tufanye hivi, 671 milion miles per/hour x 24 x 365 x miaka 4 na miezi 2 = (jibu) ????.

Nadhani hapo mmeona jinsi hesabu za kukituma tu chombo kwenda kuchunguza ilivyo na ugumu,sembuse kupeleka binadamu ambaye anatakiwa kula kila baada si chini ya masaa 7 -12 na hiyo safari haina kupumzika sehemu ni non stop.Pia atakuwa anapitia ktk hali za hewa tofauti tofauti.

Mimi nadhani binadamu labda aanze kufikiria kuwahusisha viumbe wengine ktk azma yake ya kujua huko anga za mbali kukoje na kuna nini,kwa mfano labda kuwatumia majini au wanga na hata wachawi ili kufika huko kinyume cha hapo binadamu aondoe kichwani mwake kwamba ipo siku atafika huko.

Wewe unaonaje au unafikiriaje..... haya tiririka.
Kitu ambacho kina kutatiza mda wa kufikia unacho taka kujua,ulijua leo utakuwa na simu janja(smartphone) lakini ni mda unayo na unatoa mada kupitia Internet hata hii imekufikia leo.rudi miaka ya 1884 ukisema simu janja mpele za hiyo miaka watu wataona kama haiwezakani.

Teknolojia hata asilimia 3% bado hatujafika kwa nini !!

Ndo maana kila siku kuna vitu vipya maboresho na mifumo mipya mfano fatilia historia ya gari la kwanza na leo unalo tumia sasa.

Teknolojia ya usafiri bado watu wanakaa mahabara sio kama sisi tumekalia umbea na siasa kwenye app tunazozitumia,ujue watu wana umiza vichwa hata hizi apps tunazo tumia.

Watu wanaumiza vichwa jinsi kuboresha vyombo kuendana na mda ndugu
 
Back
Top Bottom