Binadamu hatoweza kuishi nje ya Dunia, labda afanye hivi.....

what makes you think,that in the future,Technology will not catch up with the speed of light? Usisahau many things we take for granted today were deemed impossible then
Hiyo speed of light ni mwendo wa kufumba na kufumbua.
 
Nachokupinga ni kusema hakuna maji Mars wakati utafiti umefanywa kipande kidogo tu? Je Sayari yote imeshakuwa explored?
Mkuu kilichofanyika sasa ni kwa chombo kutua Mars,lakini kabla ya hapo na hata sasa kuna vyombo vingi sana vya mataifa mbali mbali vipo vinaichunguza Mars,na moja ya uchunguzi ni kuona kama kuna uwezekana wa kuwepo maji yatililikayo.Kumbuka kuwa karibia Sayari na miezi (moons) nyingi zimeshatembelewa kwa maana ya vyombo kuchunguza vikiwa kwenye anga za hizo Sayari au miezi.
 
Mtoa mada una kitu ambacho ulilenga kukisema bahati mbaya umeshindwa kukiwakilisha vizuri nadhani ulichoandika ni issue ya kufikirika zaidi na uelewa wako umekuwa tofauti kidogo na ulichokusudia maana nje ya dunia sio kwenye nyota.
Ok, ngoja nikueleweshe kidogo. Mimi kwanza siamini kama kutapatikana maisha ndani ya NYOTA YETU (jua) a.k.a OUR SOLAR SYSTEM. Na unaposema ndani ya solar system yetu una maanisha vyote vilivyomo humo pamoja na Sayari (ambazo ziko 8 pamoja na dunia yetu) miezi "moons" vimondo na vyote vilivyomo humo. Ila hiyo sio hoja yangu,hoja yangu ni hii. Binadamu hatoweza kwenda nje ya hapa tulipo,kwa umbo hili la mifupa na nyama. Na maanisha kuna ulazima wa binadamu kufikilia namna nyingine ya kuyafikia kwa haraka yale yanayotukwaza ili kufika Another solar system,ambayo bila shaka na yenyewe itakuwa na Sayari zake miezi yao na vyote vitakavyozihusu. Ndipo nilipohitimisha kwa kusema kwanini tusifikirie kuwatumia hawa viumbe ambao wanakwenda kwa kasi ya kufumba na kufumbua ??
 
Mkuu kilichofanyika sasa ni kwa chombo kutua Mars,lakini kabla ya hapo na hata sasa kuna vyombo vingi sana vya mataifa mbali mbali vipo vinaichunguza Mars,na moja ya uchunguzi ni kuona kama kuna uwezekana wa kuwepo maji yatililikayo.Kumbuka kuwa karibia Sayari na miezi (moons) nyingi zimeshatembelewa kwa maana ya vyombo kuchunguza vikiwa kwenye anga za hizo Sayari au miezi.
Vyombo vipi hivyo vya mataifa mbalimbali vilivyo Mars? Unaweza kunipa link nikajisomee?

Labda nikuulize tu, kuna utafiti ama uhakika gani kuwa kuna maji chini mpaka ikawapelekea kuwa na option hiyo yakuchimba visima?
 
Mbn wadau wapo international space station wanakaa mwaka au zaid wanapokezana..au space still ni dunian mkuu?
Yes, kukaa kunawezekana kwenda sayari karibia zote kwenye solar system yetu. Shuhuli ni kushuka bila ya vifaa na kufanya maisha, na kumbuka kuwa hawa wanaletewa vyakula maalum kutoka duniani.Sasa chukulia Mars kwanza hali ya hewa isiyomuwezesha binadamu kuishi,hakuna maji na pia kutembea kwake ni kama unadunda dunda.
 
Vyombo vipi hivyo vya mataifa mbalimbali vilivyo Mars? Unaweza kunipa link nikajisomee?

Labda nikuulize tu, kuna utafiti ama uhakika gani kuwa kuna maji chini mpaka ikawapelekea kuwa na option hiyo yakuchimba visima?
Najua unajua kuwa kabla ya kutumwa chombo chochote kwenda kwenye sayari au mwezi au kitu chochote angani ni lazima kufanyike uchunguzi wa kina. Na ndio maana kuna hatua zake za kwenda kwa mfano Mars walianza kuichunguza kutoka huku,wakavituma vyombo kwenye anga zake na hadi wakafikia kupeleka chombo kitue kwenye hiyo sayari. Hizi hapa ni vyombo vilivyotumwa kabla. na vilivyopo sasa.
How Many Satellites are in Space? - Universe Today

Mars Exploration Past Missions
 
Yes, kukaa kunawezekana kwenda sayari karibia zote kwenye solar system yetu. Shuhuli ni kushuka bila ya vifaa na kufanya maisha, na kumbuka kuwa hawa wanaletewa vyakula maalum kutoka duniani.Sasa chukulia Mars kwanza hali ya hewa isiyomuwezesha binadamu kuishi,hakuna maji na pia kutembea kwake ni kama unadunda dunda.
Anyway cjafatilia sana research za NASA bt i know kuna kpnd walikua wanatafiti kuhusu evidenc of life kwe sayar ya MARS hv km ckosei na wakasema kulikua na evidenc kwamba kulikua na waterflow one tym kitu ambacho ni very essential for life ukizingatia kuwa solar energy ipo pia sema ckufuatilia tena resech zao....but nafkr kwa utitir wa sayar zilizopo lazima kutakua na baadh ya viumbe kwe sayar nyngne how come kwe solar system yote life ikawa kwe earth peke yake?nafkir labda next generations watakuja na majibu....pia kuna issue km hiz za alliens pia zinachagiza kufikiria kuwa may be kuna life outside the earth
 
Ok, ngoja nikueleweshe kidogo. Mimi kwanza siamini kama kutapatikana maisha ndani ya NYOTA YETU (jua) a.k.a OUR SOLAR SYSTEM. Na unaposema ndani ya solar system yetu una maanisha vyote vilivyomo humo pamoja na Sayari (ambazo ziko 8 pamoja na dunia yetu) miezi "moons" vimondo na vyote vilivyomo humo. Ila hiyo sio hoja yangu,hoja yangu ni hii. Binadamu hatoweza kwenda nje ya hapa tulipo,kwa umbo hili la mifupa na nyama. Na maanisha kuna ulazima wa binadamu kufikilia namna nyingine ya kuyafikia kwa haraka yale yanayotukwaza ili kufika Another solar system,ambayo bila shaka na yenyewe itakuwa na Sayari zake miezi yao na vyote vitakavyozihusu. Ndipo nilipohitimisha kwa kusema kwanini tusifikirie kuwatumia hawa viumbe ambao wanakwenda kwa kasi ya kufumba na kufumbua ??
Hapo nimekuelewa kwenda kwenye solar system nyingine hapo kazi IPO hawa NASA project yao ya kwenda Pluto iliwatesa maana hicho kifaa walichotumia kulikuwa speed ya ya karibu kilometer 15 kwa second na kilisafiri kwa miaka 10 sasa kwenda solar system nyingine labda kizazi cha binadamu kiishe kije kizazi kingine
 
Ok, ngoja nikueleweshe kidogo. Mimi kwanza siamini kama kutapatikana maisha ndani ya NYOTA YETU (jua) a.k.a OUR SOLAR SYSTEM. Na unaposema ndani ya solar system yetu una maanisha vyote vilivyomo humo pamoja na Sayari (ambazo ziko 8 pamoja na dunia yetu) miezi "moons" vimondo na vyote vilivyomo humo. Ila hiyo sio hoja yangu,hoja yangu ni hii. Binadamu hatoweza kwenda nje ya hapa tulipo,kwa umbo hili la mifupa na nyama. Na maanisha kuna ulazima wa binadamu kufikilia namna nyingine ya kuyafikia kwa haraka yale yanayotukwaza ili kufika Another solar system,ambayo bila shaka na yenyewe itakuwa na Sayari zake miezi yao na vyote vitakavyozihusu. Ndipo nilipohitimisha kwa kusema kwanini tusifikirie kuwatumia hawa viumbe ambao wanakwenda kwa kasi ya kufumba na kufumbua ??

Mkuu, umeleta mada poa sana, nataka unifahamishe yafuatayo kutokana na jinsi nimekusoma nikakuelewa, kwanza nataka kujua majina ya hao viumbe wa kufumba na kufumbua, ni aliens? Ukasema maji hayawezi kuflow kwenye mars surface, kwanini ipo hivo, hakuna gravity? Alafu ulisema wakitaka oxygen inapaswa wachimbe chini, u mean wamegundua iyo oxygen inapatikana kwenye underground rocks za mars. You seems to be aware of these stuffs, enlighten me hapo
 
Mkuu nashukuru kwa kuwa umesoma,ila tu nashangaa hujaelewa sasa sijajua ni bahati mbaya au makusudi kuwa hujaona nilivyoelezea. Ok, nimesema kuwa sayari ya Mars hali ya hewa yake ni carbon dioxide,sasa ili ipatikane hewa ya oxygen wataalam wamependekezwa ni kupanda miti na ili upande miti inataka maji na maji juu ya ardhi ya Mars hayatililiki. Lakini wataalam wamegundua kuwa chini ya ardhi kuna maji na hayo maji ili uyapate ni kuchimba visima virefu ili miti imwagiliwe maji ambayo itatoa hewa ya Oxygen nadhani umeelewa ???
 
Nmekupata, na hao viumbe ndio wepi
 
#3. Karudie kusoma tena,nimesema kabla ya kupanda miti ni lazima kuchimbwe visima ili ipatikane oxygen. Lakini kwa hali ya hewa ya sasa haiwezekani kwa binadamu kuishi.

Kimsingi mimi sijashawishika kama ipo siku binadamu wataweza kuishi Mars.Jaribu kupitia majibu yangu niliyotoa hapo juu.

Na ndio maana naona ndani ya solar system ( japo nimesema nje ya dunia) yetu hakutapatikana maisha,labda nje ya solar system na kwenyewe ndio kumenifanya niweke hii hoja hapa ili nyinyi mniambie kwanini tusitumie hawa viumbe wanaotembe kwa speed ya kufumba na kufumbua ??
Oxygen inatoka visimani?
 
Wenzako wanazidi kufikiri wewe ndio kwanza unaanza kujitoa ufahamu [emoji2] [emoji2]
 
Ni majini, ambayo tunaambiwa yanakasi ya ajabu sana yana speed ya kufumba na kufumbua.

Nani katuambia, me ndio nasikia toka kwako, yanaitwaje hayo majini na yanahusika wapi, kuna hakiki ya hayo majini au ni assumptions tu
 
Oxygen inatoka visimani?
Inaonyesha wewe ni mvivu wa kusoma,ila umejiandaa kwaajili ya kukosoa.Sio kesi nitarudia kuelezea tena kwa herufi kubwa nimesema ili IPATIKANE OXYGEN NI LAZIMA KUPANDWE MITI,NA ILI MITI IKUE INAHITAJI MAJI,NA ILI YAPATIKANE MAJI NI KUCHIMBWE VISIMA VIREFU VYA MAJI ILI IMWAGILIWE MITI KWAVILE KWA UCHUNGUZI WA SASA UNAONYESHA KUWA KWENYE ARDHI YA JUU YA MARS HAKUNA MAJI YANAYOTIRIRIKA,LAKINI WAMEGUNDUA KUWA CHINI YA ARDHI YAKE KUNA MAJI MENGI SANA.HEWA YA OXYGEN INAPATIKANA KWA KUPANDA MITI.Lakini kumbuka hii hoja ya sayari ya Mars imechomekewa tu humu haikuwa ndio hoja yangu ya kuanzisha huu uzi.
 
Nani katuambia, me ndio nasikia toka kwako, yanaitwaje hayo majini na yanahusika wapi, kuna hakiki ya hayo majini au ni assumptions tu
Niliposema "tunaambiwa" haimaanishi lazima na wewe uwe humo, huo ni wingi ambao unaweza kuwa wa mimi na mke wangu.
 
Inaonyesha wewe ni mvivu wa kusoma,ila umejiandaa kwaajili ya kukosoa.Sio kesi nitarudia kuelezea tena kwa herufi kubwa nimesema ili IPATIKANE OXYGEN NI LAZIMA KUPANDWE MITI,NA ILI MITI IKUE INAHITAJI MAJI,NA ILI YAPATIKANE MAJI NI KUCHIMBWE VISIMA VIREFU VYA MAJI ILI IMWAGILIWE MITI KWAVILE KWA UCHUNGUZI WA SASA UNAONYESHA KUWA KWENYE ARDHI YA JUU YA MARS HAKUNA MAJI YANAYOTIRIRIKA,LAKINI WAMEGUNDUA KUWA CHINI YA ARDHI YAKE KUNA MAJI MENGI SANA.HEWA YA OXYGEN INAPATIKANA KWA KUPANDA MITI.Lakini kumbuka hii hoja ya sayari ya Mars imechomekewa tu humu haikuwa ndio hoja yangu ya kuanzisha huu uzi.

Acha uvivu wa kufikiri mkuu, hayo mambo si rahisi hivyo! Usidhani kuwa miti inahitaji tu maji ili kukua....., usidhani pia hii oxygen iliyopo duniani imetokana na uwepo wa mimea (photosynthesis) kwa asilimia 100. Kumbuka kuwa Mars ina atmosphere ndogo sana (atmosphere yetu ni nzito mara 100 kwa mars). Kumbuka kuwa kuna moon ambazo hazina mimea ila zina oxygen. Hiyo natharia kuwa Mars in underground water haijafanyiwa verification at all (eti unasema maji mengi sana! mmhh). Labda nikupe tu taarifa, kwenye sayari dunia..., oxygen ilianza kuwepo kabla ya simple and complex life as we know it. Carbon based life is very complex, haihitaji tu maji na udongo......, and oxygen is among very simple elements, it can react with every element in periodic table..., kwa hiyo si kitu kirahisi kuendelea kubaki kwenye atmosphere kama unavyodhani.

By the way I am not here only to argue or persuade as you said, either mimi sio mvivu sana wa kusoma but may be I am not good enough like you. However, your herufi kubwa tells me something else about you. By the way it wasn't an argument, but a simple question (that why my line had question mark at the end).
 
#3. Karudie kusoma tena,nimesema kabla ya kupanda miti ni lazima kuchimbwe visima ili ipatikane oxygen. Lakini kwa hali ya hewa ya sasa haiwezekani kwa binadamu kuishi.

Kimsingi mimi sijashawishika kama ipo siku binadamu wataweza kuishi Mars.Jaribu kupitia majibu yangu niliyotoa hapo juu.

Na ndio maana naona ndani ya solar system ( japo nimesema nje ya dunia) yetu hakutapatikana maisha,labda nje ya solar system na kwenyewe ndio kumenifanya niweke hii hoja hapa ili nyinyi mniambie kwanini tusitumie hawa viumbe wanaotembe kwa speed ya kufumba na kufumbua ??

Hapa yellow colored ndio unachanganya watu, hii ni post #19 uliandika mwenyewe, ukaacha maneno "ili maji yapatikane kunyeshea miti", sasa mtu akisoma mara ya kwanza anapotea, nilikuuliza na the other guy amekuuliza, unatuambia hatusomi vizuri, wakati wewe huandiki vizuri.
 
Back
Top Bottom