BansenBurner
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 6,809
- 5,784
Kwaio usikute wanga wanatumia speed ya light.Hiyo speed of light ni mwendo wa kufumba na kufumbua.
Kwaio usikute wanga wanatumia speed ya light.Hiyo speed of light ni mwendo wa kufumba na kufumbua.
Acha uvivu wa kufikiri mkuu, hayo mambo si rahisi hivyo! Usidhani kuwa miti inahitaji tu maji ili kukua....., usidhani pia hii oxygen iliyopo duniani imetokana na uwepo wa mimea (photosynthesis) kwa asilimia 100. Kumbuka kuwa Mars ina atmosphere ndogo sana (atmosphere yetu ni nzito mara 100 kwa mars). Kumbuka kuwa kuna moon ambazo hazina mimea ila zina oxygen. Hiyo natharia kuwa Mars in underground water haijafanyiwa verification at all (eti unasema maji mengi sana! mmhh). Labda nikupe tu taarifa, kwenye sayari dunia..., oxygen ilianza kuwepo kabla ya simple and complex life as we know it. Carbon based life is very complex, haihitaji tu maji na udongo......, and oxygen is among very simple elements
By the way I am not here only to argue or persuade as you said, either mimi sio mvivu sana wa kusoma but may be I am not good enough like you. However, your herufi kubwa tells me something else about you. By the way it wasn't an argument, but a simple question (that why my line had question mark at the end).
Mi naweka na ushahidi wa kitu nilichokiandika,na wewe weka tuone. Oxygen ipo DUNIANI KWA SABABU YA MIMEA NA SI VINGINEVYO NA HAKUNA KWINGINE KWENYE HEWA YA OXYGEN.INGIA HAPA UKASOME. UKIBISHA UWEKE NA UTETEZI WAKO ULIKOUPATA SIO KUNITOA NJE YA MADA YANGU NA BORA UELEZEE VIZURI NA USHAHIDI ILA UNABISHA TU.Acha uvivu wa kufikiri mkuu, hayo mambo si rahisi hivyo! Usidhani kuwa miti inahitaji tu maji ili kukua....., usidhani pia hii oxygen iliyopo duniani imetokana na uwepo wa mimea (photosynthesis) kwa asilimia 100. Kumbuka kuwa Mars ina atmosphere ndogo sana (atmosphere yetu ni nzito mara 100 kwa mars). Kumbuka kuwa kuna moon ambazo hazina mimea ila zina oxygen. Hiyo natharia kuwa Mars in underground water haijafanyiwa verification at all (eti unasema maji mengi sana! mmhh). Labda nikupe tu taarifa, kwenye sayari dunia..., oxygen ilianza kuwepo kabla ya simple and complex life as we know it. Carbon based life is very complex, haihitaji tu maji na udongo......, and oxygen is among very simple elements, it can react with every element in periodic table..., kwa hiyo si kitu kirahisi kuendelea kubaki kwenye atmosphere kama unavyodhani.
By the way I am not here only to argue or persuade as you said, either mimi sio mvivu sana wa kusoma but may be I am not good enough like you. However, your herufi kubwa tells me something else about you. By the way it wasn't an argument, but a simple question (that why my line had question mark at the end).
Hizo za kufanana na Dunia lazima zitakuwepo tena ni nyingi sana,tatizo lipo kuzifikia si kwa kutuma mtu wala chombo HAKITOWEZA KUTUA HUKO ZAIDI YA KUVICHUNGUZA KUTOKEA MBALI. NDIPO ILIPOTOKEA HOJA YANGU JE,NI KWANINI TUSIWATUMIE VIUMBE WA AJABU KUFIKA HUKO ....... LAKINI WATU WANATAKA KUNITOA KWENYE MADA YANGU,WAKATI HUKO WANAKONILAZIMISHA NIENDE NIMESHASEMA HAKUWEZEKANI KWA BINADAMU KUFIKA KTK MWILI HUU WA MIFUPA NA NYAMA NA NIKAJARIBU KUTOLEA MFANO WA KUFIKA MARS,LAKINI MARS HAIKUWA NDIO MJADALA WANGU NA KAMA KUNA MTU ANATAKA KUJADILI MARS IPO MADA NIMEONGELEA HII SAYARI.
Ngoja nitaelezea,lakini kwanza niwaweke sawa hawa wanaonilazimisha niiongelee Mars, na nimeshawahi kuiongelea hapa na hata wewe ukijisikia hebu ingia hapa. Tena nikaongelea na JUPITER, NA NIMEONGELEA NA SATURN.Haya tuelezee na sisi bhasi
Mi naweka na ushahidi wa kitu nilichokiandika,na wewe weka tuone. Oxygen ipo DUNIANI KWA SABABU YA MIMEA NA SI VINGINEVYO NA HAKUNA KWINGINE KWENYE HEWA YA OXYGEN.INGIA HAPA UKASOME. UKIBISHA UWEKE NA UTETEZI WAKO ULIKOUPATA SIO KUNITOA NJE YA MADA YANGU NA BORA UELEZEE VIZURI NA USHAHIDI ILA UNABISHA TU.
Is there oxygen in the atmospheres of other planets? (Intermediate) - Curious About Astronomy? Ask an Astronomer
Wewe unataka kutuaminisha Wanga (wachawi) wanatumia speed ya mwanga (light)?Naamini mko poa,kumekuwa na juhudi za mataifa mengi yaliyoendelea kisayansi na kiteknolojia za kuchunguza na kufatilia mambo ya anga za mbali ili pamoja na mambo mengine,lakini kubwa kuliko yote ni kuona kama kuna siku binadamu atahama hapa Duniani na kuweza kwenda kuishi ktk anga za mbali.
Mimi nasema haitowezekana ktk hali hii ya binadamu wa mifupa na nyama.Hebu tuangalie kwanini nasema hivo,kwa mfano tunaambiwa ili tuweze kufika ktk Nyota iliyo karibu yetu kabisa itakuchukua safari ya MIAKA 4.2 YA MWENDO WA MWANGA, sasa fanya hesabu hii hapa. Mwanga unasafiri kwa kasi ya Kilomita 1,080 milioni kwa saa = na miles 671 milioni kwa saa au ni sawa na kusema 186,000 per sec. Kwahiyo tufanye hivi, 671 milion miles per/hour x 24 x 365 x miaka 4 na miezi 2 = (jibu) ????.
Nadhani hapo mmeona jinsi hesabu za kukituma tu chombo kwenda kuchunguza ilivyo na ugumu,sembuse kupeleka binadamu ambaye anatakiwa kula kila baada si chini ya masaa 7 -12 na hiyo safari haina kupumzika sehemu ni non stop.Pia atakuwa anapitia ktk hali za hewa tofauti tofauti.
Mimi nadhani binadamu labda aanze kufikiria kuwahusisha viumbe wengine ktk azma yake ya kujua huko anga za mbali kukoje na kuna nini,kwa mfano labda kuwatumia majini au wanga na hata wachawi ili kufika huko kinyume cha hapo binadamu aondoe kichwani mwake kwamba ipo siku atafika huko.
Wewe unaonaje au unafikiriaje..... haya tiririka.
Ukiolewa nilazima kuvua /huwezi kujadili kupata mtoto ukasahau tendo la ndoa,WALE WANAOJISIKIA KUJADILI SAYARI ZA MARS,JUPITER NA SATURN. NILISHAWAHI KUWEKA THREADS ZAO HUMU NENDA KULE TUKAJADILI HILO ILA HAPA NIMELETA TUJADILI KILICHOPO KWENYE BANDIKO LANGU NA MSINITOE NJE YA MADA TAFADHARI.
Ifahamu sayari ya Jupiter
Ifahamu sayari ya Mars...
Ifahamu sayari ya Saturn kiundani zaidi
Umeshinda,maana unazidi kunilazimishia nijadili kitu ambacho sio lengo langu. Kama vipi hebu ingia huo uzi wa Mars niliowaelekeza huko nitakuja.We jamaa uelewa wako unanipa shaka sana, soma vizuri kwanza. Nimekuambia moons sio planets, kuna moon za Saturn's na moja ya Jupiter zina oxygen. Pia usiwe unaleta reference za kitoto, sio una-google maswali na majibu ya watoto. Tafuta authentic/genuine references. Ngoja nikuambie, miaka billion 2 iliyopita Mars ilikuwa na maji na oxygen, ilipopoteza atmosphere na maji yakapotea angani.
Oxygen ni simple element, hata ukipump oxygen yote ya duniani haitakaa Mars. Inahitaji unique environment ili ibaki kwenye atmosphere.
Oxygen ilikuwako kabla ya viumbe duniani, hata kwenye core ya dunia kuna oxygen hivi leo. Ishu ni form ya hiyo oxygen. Viumbe wa mwanzo kabisa (cyanobacteria) waliweza kubomoa carbon dioxide na kutengeneza oxygen. (Hawa viumbe wapo hadi leo Australia) Pia short wave radiation (ultraviolet) ziliweza kubomoa water molecule kutengeneza oxygen. Thanks to plants as well, lakini ilikuja baadae na contribution yake kwenye oxygen budget ni only 40%
Dunia ikiwa changa ilikuwa na events nyingi sana za volcano, hii ilisababisha dunia kujaa carbon dioxide sana. Lakini carbon dioxide ina oxygen
Sina uhakika na hili ambalo unalisema kuna dhana ambayo wanasayansi wengi wanaasajesti kwambaMi naweka na ushahidi wa kitu nilichokiandika,na wewe weka tuone. Oxygen ipo DUNIANI KWA SABABU YA MIMEA NA SI VINGINEVYO NA HAKUNA KWINGINE KWENYE HEWA YA OXYGEN.INGIA HAPA UKASOME. UKIBISHA UWEKE NA UTETEZI WAKO ULIKOUPATA SIO KUNITOA NJE YA MADA YANGU NA BORA UELEZEE VIZURI NA USHAHIDI ILA UNABISHA TU.
Is there oxygen in the atmospheres of other planets? (Intermediate) - Curious About Astronomy? Ask an Astronomer
Nasubili majibu,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,?Ngoja narudi.
Nimekuelewa kinachokutatiza,na majibu yake ninayo lakini nikikujibu ndio utakuwa muendeleza wa maswali na hatimaye uzi wangu unageuka na kuwa wa OXYGEN. Kama vipi anzisha uzi unaohusu hiyo kitu kisha niite nitakuja,ila hapa nimesitishe kujibu maswali yanayohushu OXYGEN bye.Sina uhakika na hili ambalo unalisema kuna dhana ambayo wanasayansi wengi wanaasajesti kwamba
Cyanobacteria hawa waliishi kwenye bahari na ndio inasemekana ndo viumbe vya kwanza kufanya
oxygenic photosynthesis pindi kitendo cha uzalishaji wa organic carbon kilichokuwa kinatokea kwa viumbe hivi walikuwa wanatoa O2 (oxygen) hivyo hii oxygen na iliingia kwenye Seawater na tokea hapo na nyingine ili escape kwenye atmosphere.
The Rise of Oxygen - Astrobiology Magazine
Lakini mkuu tukitoa na hilo hivi karibuni moja miezi ya saturn uitwao Rhea imegundulika uwepo wa oxygen japo hakuna ushahidi kama kuna miti kama unavyodai lakini pamoja na uwepo wa oxygen kwenye huu mwezi ni bado sehemu ambayo haifai kwa ajili ya maisha ya mwanadamu.
Saturn Moon Has Oxygen Atmosphere
Mkuu nasubri ufafanuzi wako kuhusu madai yako