Binadamu hatoweza kuishi nje ya Dunia, labda afanye hivi.....

Binadamu hatoweza kuishi nje ya Dunia, labda afanye hivi.....

Nimekuelewa kinachokutatiza,na majibu yake ninayo lakini nikikujibu ndio utakuwa muendeleza wa maswali na hatimaye uzi wangu unageuka na kuwa wa OXYGEN. Kama vipi anzisha uzi unaohusu hiyo kitu kisha niite nitakuja,ila hapa nimesitishe kujibu maswali yanayohushu OXYGEN bye.

Basi sawa, naona mambo yamekuwa magumu
 
Ulikuwa una furahi kunitoa nje ya mada,Kwanini usianzishe hiyo mada kisha uni tag ???

Hakuna mada ya maana hapo, naona ishu za ,majini, wanga na wachawi. This is far beyond scientific context! Hiyo endeleeni nayo wenyewe
 
Hakuna mada ya maana hapo, naona ishu za ,majini, wanga na wachawi. This is far beyond scientific context! Hiyo endeleeni nayo wenyewe
Sasa kaanzishe hiyo ya maana (oxygen's thread) kisha niite, nisipokuja sema hayo maneno yako ya "naona hali imekuwa ngumu"
 
Sasa kaanzishe hiyo ya maana (oxygen's thread) kisha niite, nisipokuja sema hayo maneno yako ya "naona hali imekuwa ngumu"

Hapana samsun usikasirike, haya mambo hayataki hasira. Mimi mchangiaji wa mada zako japo huwa naweka utani mwingi. Cha ajabu leo umeniita mvivu kisa nilikuuliza swali zuri tu. Nikaamua kutumia herufi kubwa , usijali tupo pamoja
 
Hapana samsun usikasirike, haya mambo hayataki hasira. Mimi mchangiaji wa mada zako japo huwa naweka utani mwingi. Cha ajabu leo umeniita mvivu kisa nilikuuliza swali zuri tu. Nikaamua kutumia herufi kubwa , usijali tupo pamoja
Usijali tupo pamoja.
 
Nimekuelewa kinachokutatiza,na majibu yake ninayo lakini nikikujibu ndio utakuwa muendeleza wa maswali na hatimaye uzi wangu unageuka na kuwa wa OXYGEN. Kama vipi anzisha uzi unaohusu hiyo kitu kisha niite nitakuja,ila hapa nimesitishe kujibu maswali yanayohushu OXYGEN bye.
Ok, ila sikuwa na nia ya kukomenti kwenye hii nilikuwa tu msomaji kwa sababu sina mahalifa wala ushahidi kuhusu hao viumbe vya ajabu, ila tu nilipoona hiyo argument yako ndo nikaona niulize.
 
Ok, ila sikuwa na nia ya kukomenti kwenye hii nilikuwa tu msomaji kwa sababu sina mahalifa wala ushahidi kuhusu hao viumbe vya ajabu, ila tu nilipoona hiyo argument yako ndo nikaona niulize.

Uzi ndo umeishia hapo, habari za wachawi, wanga na majini havina nafasi kwenye science. Arguments za maji na oxygen ndo zilinifanya niandike kitu.
 
Kaka Samsun, speed ya mwanga kwa saa Siyo hyo uliondika ni 3 millions m/s= 10.8 millions km/h= 6.712 millions miles/h
 
Hizo za kufanana na Dunia lazima zitakuwepo tena ni nyingi sana,tatizo lipo kuzifikia si kwa kutuma mtu wala chombo HAKITOWEZA KUTUA HUKO ZAIDI YA KUVICHUNGUZA KUTOKEA MBALI. NDIPO ILIPOTOKEA HOJA YANGU JE,NI KWANINI TUSIWATUMIE VIUMBE WA AJABU KUFIKA HUKO ....... LAKINI WATU WANATAKA KUNITOA KWENYE MADA YANGU,WAKATI HUKO WANAKONILAZIMISHA NIENDE NIMESHASEMA HAKUWEZEKANI KWA BINADAMU KUFIKA KTK MWILI HUU WA MIFUPA NA NYAMA NA NIKAJARIBU KUTOLEA MFANO WA KUFIKA MARS,LAKINI MARS HAIKUWA NDIO MJADALA WANGU NA KAMA KUNA MTU ANATAKA KUJADILI MARS IPO MADA NIMEONGELEA HII SAYARI.

Ifahamu sayari ya Mars...
Mkuu wewe mganga wa kienyeji nini, mbona umekazana na majini?!

Miaka mingi uko baadae(next generation may be), wanaweza wakafanya haya unayosema hayawezekani...wakaja wakasoma bandiko lako hili wakakushangaa sana japo kuwa utakuwa ushaoza miaka mingi sana...

Wakina vasco da gama walitembea kwenye maji na majahazi kwa masiku kibao...leo ukiwaambia kuna ndege unaenda mwanza masaa mawili watashangaa!

Technology inakuwa.
 
Acha uvivu wa kufikiri mkuu, hayo mambo si rahisi hivyo! Usidhani kuwa miti inahitaji tu maji ili kukua....., usidhani pia hii oxygen iliyopo duniani imetokana na uwepo wa mimea (photosynthesis) kwa asilimia 100. Kumbuka kuwa Mars ina atmosphere ndogo sana (atmosphere yetu ni nzito mara 100 kwa mars). Kumbuka kuwa kuna moon ambazo hazina mimea ila zina oxygen. Hiyo natharia kuwa Mars in underground water haijafanyiwa verification at all (eti unasema maji mengi sana! mmhh). Labda nikupe tu taarifa, kwenye sayari dunia..., oxygen ilianza kuwepo kabla ya simple and complex life as we know it. Carbon based life is very complex, haihitaji tu maji na udongo......, and oxygen is among very simple elements, it can react with every element in periodic table..., kwa hiyo si kitu kirahisi kuendelea kubaki kwenye atmosphere kama unavyodhani.

By the way I am not here only to argue or persuade as you said, either mimi sio mvivu sana wa kusoma but may be I am not good enough like you. However, your herufi kubwa tells me something else about you. By the way it wasn't an argument, but a simple question (that why my line had question mark at the end).
mkuu sikubalian na wew coz life started with anaerobes later wakaja aerobes........anaerobes were able to utilize carbondiovlxide iokuwepo....ndo baadae aerobes waka evolve......
 
Sasa kaanzishe hiyo ya maana (oxygen's thread) kisha niite, nisipokuja sema hayo maneno yako ya "naona hali imekuwa ngumu"

We jamaa ni mjanja mjanja tu wa mtaani, hujui science, wadau wanakuja na hoja nzito za kufikirisha na kisayansi zaidi, we unasema wanakutoa nje ya maada.. Wakati inaonekana umepiga nje kabisa.

We unataka kujadili mambo ya majini na wachawi.

Kajipange upya, huna ulijualo zaidi ya kuokoteza vimaneno vya hapa na pale..
 
mkuu sikubalian na wew coz life started with anaerobes later wakaja aerobes........anaerobes were able to utilize carbondiovlxide iokuwepo....ndo baadae aerobes waka evolve......

Ni kweli usemacho, ila inaaminika kuwa oxygen ilikuwepo kwa kiwango kidogo kilichotokana na kubomolewa kwa water molecule by short wave radiation (ultraviolet). Hii inaaminika kuwa ndiyo sababu ya baadhi ya moons za saturn kuwa na oxygen.
 
Naamini mko poa,kumekuwa na juhudi za mataifa mengi yaliyoendelea kisayansi na kiteknolojia za kuchunguza na kufatilia mambo ya anga za mbali ili pamoja na mambo mengine,lakini kubwa kuliko yote ni kuona kama kuna siku binadamu atahama hapa Duniani na kuweza kwenda kuishi ktk anga za mbali.

Mimi nasema haitowezekana ktk hali hii ya binadamu wa mifupa na nyama.Hebu tuangalie kwanini nasema hivo,kwa mfano tunaambiwa ili tuweze kufika ktk Nyota iliyo karibu yetu kabisa itakuchukua safari ya MIAKA 4.2 YA MWENDO WA MWANGA, sasa fanya hesabu hii hapa. Mwanga unasafiri kwa kasi ya Kilomita 1,080 milioni kwa saa = na miles 671 milioni kwa saa au ni sawa na kusema 186,000 per sec. Kwahiyo tufanye hivi, 671 milion miles per/hour x 24 x 365 x miaka 4 na miezi 2 = (jibu) ????.

Nadhani hapo mmeona jinsi hesabu za kukituma tu chombo kwenda kuchunguza ilivyo na ugumu,sembuse kupeleka binadamu ambaye anatakiwa kula kila baada si chini ya masaa 7 -12 na hiyo safari haina kupumzika sehemu ni non stop.Pia atakuwa anapitia ktk hali za hewa tofauti tofauti.

Mimi nadhani binadamu labda aanze kufikiria kuwahusisha viumbe wengine ktk azma yake ya kujua huko anga za mbali kukoje na kuna nini,kwa mfano labda kuwatumia majini au wanga na hata wachawi ili kufika huko kinyume cha hapo binadamu aondoe kichwani mwake kwamba ipo siku atafika huko.

Wewe unaonaje au unafikiriaje..... haya tiririka.
Siku zote matatizo ya binadamu huanzia pale upeo wake wa kufikilia unapofikia kikomo,na hii yote ni pale mtu unaposema huwezi kufanya kitu Fulani ,hivi ulitegemea kipindi cha miaka ya 80 kungekuja kutokea innovation of technology mpaka mida hii tunatumia simu za smartphones na kuwasiliana na kila MTU dunia nzima? Basi jua kwamba ukiufunga ubongo wako utaacha kufikili na kuona haiwezekani,everything is possible under the sun!!!
 
Mkuu kilichofanyika sasa ni kwa chombo kutua Mars,lakini kabla ya hapo na hata sasa kuna vyombo vingi sana vya mataifa mbali mbali vipo vinaichunguza Mars,na moja ya uchunguzi ni kuona kama kuna uwezekana wa kuwepo maji yatililikayo.Kumbuka kuwa karibia Sayari na miezi (moons) nyingi zimeshatembelewa kwa maana ya vyombo kuchunguza vikiwa kwenye anga za hizo Sayari au miezi.
Gravity ya mars ni ndogo sana nikaribia robo ya gravity ya earth maji hutililishwa kutokana na Force of gravity yani kuvutwa penye surface level mfano ocean kinachohisiwa maji hayatililiki mars ni inshu ya gravity tu kuwa ndogo ila kiuhalisia yana tilika japo ktk Mtiririko mdogo mdogo
 
Hapo ndo NASA wanaponichosha yani wanaweka vipimo vya umbali vya matrilioni ambacho mimi na wewe hatuwezi kuprove... so sometimes nawaonaga mambo mengine wanatunga tu tafiti zozote nje ya dunia yetu ni usaniii, kuna mambo mengi sisi kama binadamu tunashindwa kusolve yaliyopo ndani ya dunia yetu tunahangaika sjui na pluto kuna maji, mara uwezekano wa kuishiii, kwann tusisolve vitu kama njaaa, vita, maradhi n.k
 
Umeanza na sayansi vizuri nikaona mtu wa maana utakuja labda na solution ya maana, kusoma conclusion yako nikajua na wewe ni wale wale tu, majini, wachawi ndio uchafu gani? We ulishawahi kuona jini hata moja? Unaweza kuja na proof? unaweza prove mchawi yuko superior kuliko sayansi? Dini imewavuruga sana waafrika, tatizo mlizidisha, kila kitu inatakiwa kufanywa kwa moderate.

Alafu unavyosema binadamu atakua anapita kwenye hali ya hewa tofauti tofauti umeenda chaka, hakuna atmosphere nje ya sayari, ni kama vacuum (utupu) tu. Sanasana ni radiation kutoka kwenye nyota na gravity (mvutano) pia kutoka kwenye heavy bodies kama jua na sayari ila kunavigate against hizi conditions sio ngumu unless mtu anapita karibu sana na hizi bodies.
 
Back
Top Bottom