Credit
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 1,483
- 1,880
Kwa uelewa wangu ni kwamba; kuna baadhi ya wanyama hucheua lakini lakini binadamu hayuko kwenye kundi la wanaocheua. Sasa kuna rafiki yangu yeye hucheua; yaani akimaliza kula, baada ya nusu saa au zaidi anaanza kutoa chakula tumboni na kuanza kukitafuna tena. kama ng'ombe tu wanavyofanya. Je atakuwa abnormal?, kuna madhara yeyote anaweza pata?