Bimmer na Landcruiser V8

Haya Toyota Echo hii tena hii ni petrol.... Imegonga 1m mpaka odo haiwezi kuendelea kucount.




Audi A4 hii nayo ina 1m km....



Haya hii subaru forester nayo imegonga kilimetre milioni moja.



Haya ni Skoda, Ndugu yake wa Audi na VW ni 1.9L TDI na ina 940,000Km.




I told you mambo mnayoongea yapo too theoretical.

Aisee hizo ni kama vile umefaulu mtihani bila kusoma.. Huwa inatokea..!
Ndio maana inakuwa documented.. Ni kitu cha kushangaza..
Ila haibadilishi design ya engine ndogo parts zake sio span sawa na engine kubwa..!
 
Naona mfa maji bado unatapa tapa ok je zikitunzwa zote unataka sema hio ya 2l itaishi sawa na 4l?
Kipi kinafanya ife kama inatunzwa vizuri?

Labda body ichoke mapema kuliko engine.

So far sioni sababu ya engine inayotunzwa ife.
 
Kipi kinafanya ife kama inatunzwa vizuri?

Labda body ichoke mapema kuliko engine.

So far sioni sababu ya engine inayotunzwa ife.
Aisee hizi ndio experience na reasoning ulikuwa unanitell!!!?

Yaani a well cared engine block ya 100,000 itakuwa sawa na block mpya..!!!?
Unaelewa jinsi hizi engines zinavyofanya kazi..!!? Unaelewa movements ya parts ndani ya engine!!?
Kwahiyo ukitunza engine utaitumia forever..!!!?

Pita humo kwanza.. Ndio maana nakueleza theories ni muhimu.. Wewe Unasema kukariri..!!
 
Aisee hizo ni kama vile umefaulu mtihani bila kusoma.. Huwa inatokea..!
Ndio maana inakuwa documented.. Ni kitu cha kushangaza..
Ila haibadilishi design ya engine ndogo parts zake sio span sawa na engine kubwa..!

Me nimekuletea engine ndogo tena kibao zenye 1,000,000Km.

Vipi unaonaje ukiniletea 1HDT, 1VD and the likes zenye 2,000,000Km?

I think itamaliza mjadala.
 
Hahaha sasa hizo engines kubwa huwa hawadocument sababu ni jambo la kawaida..
Nitasearch na mimi.. Nikipata nitashare..!
 
Ahhh ok good good.. Ila kuna vitu vingi sana unamiss..
Toyota Landcruiser 100 series.. Kuna 1hz..kuna 1hdfte.. Kuna 1fz..kuna 2uz.. Kila moja ina power figures zake tofauti tofauti.. Sasa hiyo calculation unayosema waliifanya kutumia engine ipi kwenye same car..!!!!?
Options nyingi za engines unapewa ili wewe uamue kutokana na matumizi yako ipi itakufaa.. Hii point iweke kichwani usiisahau..!

Sedan engine ndogo hata internal parts zake zinakuwa designed kwa umbali kadhaa tofauti na engine kubwa..!

Nje ya mada kidogo.. Ukiwa unafanya design ya barabara.. Unaangalia barabara ni kubwa au ndogo... Kwahiyo life span unaweka kulingana na matumizi yake makubwa au madogo..!
😁😁 Vitz enyewe ina kuja na kwanzia 1L hadi 1.8L sasa sijui anamaanisha hesabu gani yeye za kuchagua engine wakati body lile lile
 
Back
Top Bottom