It's all about horsepower.Umeona engine ndogo inavyohangaika kukeep-up na kubwa..!!?
Same to 5l engine.Kilichotengenezwa na binadamu kina mwsho wake nthng lasts forever
Ahhh ok.. Turbo charging.. Hii ni forced induction ya hewa kwenye block.. Engine itakuwa stressed.. Hii ndio tunaongelea muda wote..It's all about horsepower.
Engine ndogo yenye 300hp na engine kubwa yenye 300hp, zote zitafanya kazi sawa assuming uzito wa gari unalingana. Ila gari moja ikiwa nzito zaidi basi itasumbuka ku-keep up.
2l turbo charged anaweza muwashia moto 3.5l natural aspirated mpaka akashindwa ku-keep up.
Mkuu wazungu walio tulitea haya, unafikiri hawakuwa reason kama wewe na hadi wakaamua kuleta hivyo vyuma? Kama vingekuwa nashida wasingetoa maana mambo mazuri mazuri yote yanatoka kwa mzungu.. Nimeona wanatoa VW R 4 cyl.. HP 400++Ahhh ok.. Turbo charging.. Hii ni forced induction ya hewa kwenye block.. Engine itakuwa stressed.. Hii ndio tunaongelea muda wote..
How can you squeeze same hp ya bigger block kwenye smaller block bila kuistress!!!? Itakuwa stressed tuu na forced induction-turbo..!
Wamebanwa na emission standards..!!Mkuu wazungu walio tulitea haya, unafikiri hawakuwa reason kama wewe na hadi wakaamua kuleta hivyo vyuma? Kama vingekuwa nashida wasingetoa maana mambo mazuri mazuri yote yanatoka kwa mzungu.. Nimeona wanatoa VW R 4 cyl.. HP 400++
So tunawazidi kufikiri hao walio tuletea hayo magari? Maana haya yenyewe tunayojadili yametoka kwao kwenye notes zao hatuna mpyaaWamebanwa na emission standards..!!
Leo watu wanawaza umeme.. Kwenda green emission..
Ahhh sio kwamba wao hawajui gari inakuwa stressed zaidi.. Wanajua ndio maana maintainance yake inakuwa delicate..!So tunawazidi kufikiri hao walio tuletea hayo magari? Maana haya yenyewe tunayojadili yametoka kwao kwenye notes zao hatuna mpyaa
Ila fungeni safari mnaenda let say mwanza from dar afu utajua faida ya hizo displacement kuwa kubwa faida yakeIt's all about horsepower.
Engine ndogo yenye 300hp na engine kubwa yenye 300hp, zote zitafanya kazi sawa assuming uzito wa gari unalingana. Ila gari moja ikiwa nzito zaidi basi itasumbuka ku-keep up.
2l turbo charged anaweza muwashia moto 3.5l natural aspirated mpaka akashindwa ku-keep up.
Umeona engine ndogo inavyohangaika kukeep-up na kubwa..!!?
Jibu muruaIt's all about horsepower.
Engine ndogo yenye 300hp na engine kubwa yenye 300hp, zote zitafanya kazi sawa assuming uzito wa gari unalingana. Ila gari moja ikiwa nzito zaidi basi itasumbuka ku-keep up.
2l turbo charged anaweza muwashia moto 3.5l natural aspirated mpaka akashindwa ku-keep up.
Kwa hiyo ikiwa stressed inakuwa na maisha mafupi? 🤣🤣🤣Ahhh ok.. Turbo charging.. Hii ni forced induction ya hewa kwenye block.. Engine itakuwa stressed.. Hii ndio tunaongelea muda wote..
How can you squeeze same hp ya bigger block kwenye smaller block bila kuistress!!!? Itakuwa stressed tuu na forced induction-turbo..!
Ahhh ok.. Turbo charging.. Hii ni forced induction ya hewa kwenye block.. Engine itakuwa stressed.. Hii ndio tunaongelea muda wote..
How can you squeeze same hp ya bigger block kwenye smaller block bila kuistress!!!? Itakuwa stressed tuu na forced induction-turbo..!
Sio kweli.Muda utapishana..
Ndio life spans hizo..!
Fundi alie nanjilinji anajua zaidi ya kampuni inayoajiri top engineers, inachoma billions of dollars kwenye RnD na ina 50 yrs of experience in a car industry.Mkuu wazungu walio tulitea haya, unafikiri hawakuwa reason kama wewe na hadi wakaamua kuleta hivyo vyuma? Kama vingekuwa nashida wasingetoa maana mambo mazuri mazuri yote yanatoka kwa mzungu.. Nimeona wanatoa VW R 4 cyl.. HP 400++
Kwahiyo ukiitunza vizuri hiyo delicate car inakufa haifi? Kwamba ukifuata manual nzima ya hiyo gari kama inavyotaka, hiyo engine inakufa haifi?Ahhh sio kwamba wao hawajui gari inakuwa stressed zaidi.. Wanajua ndio maana maintainance yake inakuwa delicate..! View attachment 2035117View attachment 2035116
Engine sio ndio inapush mambo yaende!!