Bimmer na Landcruiser V8

Pamoja na kwamba Trackhawck ana HP kubwa ila kuna gari zina HP ya kawaida zinamkalisha mchana kweupe.

Porsche Cayenne Turbo GT
BMW X6 Competition

Hawa wadudu wawili ni bad news linapokuja suala la mbio.
Mbona hamumtaj audi wakat naye hzo rs ni moto wakuotea mbal kuliko bimma
 
Aisee kuna basic mechanisms za engine naona bado hujazipata..
2.0tdi ni diesel engine.. Umeshawahi kuona diesel engine ya gari yenye hizo rpms!!!?

Rpms za kurelax ukiwa unaendesha ndio unazifeel.. Gari hailalamiki..!
How do you know the engine is relaxed?

Engine ikiwa relaxed inakuwaje? Na isipokuwa relaxed inakuwaje? Show us the difference.

Huo ni mfano by the way.
 
Ulipotea sana nikahisi umekimbia..!

Nimeomba huo utofauti bado haujanipa..!!

Span ilikuwa kati ya engine kubwa na ndogo.. Labda kuna misunderstanding..
Ishu yetu ni cc za gari zinachangia life span..

Gari ya kizamani tena..!!!
Plus hiyo ndio point tulikuwa tunajaribu kuonyesha..
Engines nyingi za zamani utakuta zina cc kubwa ila output ndogo.. Ndio maana zinaishi muda mrefu..
Engines za kisasa zina cc ndogo ila same au zaidi ya output ya engines kubwa za zamani.. Ndio maana haziwezi kulast longer.. Kwahiyo bado tunarudi pale pale.. Engine displacement cc inachangia lifespan..!

Engine ndogo hata life span yake ni ndogo..huwezi fananisha na kubwa..!
Na sijafahamu kwanini hutaki niweke Scania..!

Utofauti wa engine za trucks na gari ndogo mbona unaeleweka.

Zote ni IC engines za diesel ila mfano angalia kama block ya 114 inafanana na block ya 1hd... angalia cylinder head n.k. njoo pia kwenye materials zilizoyengeneza hizo engines.

Ile 1.6 TDI niliyoleta jana ni gari ya 2009. Ila 500k Km, Je ile ni engine ya zamani?
 
Misunderstanding hapa.. Mimi naongelea engine kubwa na ndogo kwenye gari sawa..!
Hapa ndio umuhimu wa cc za gari..!
Ndio maana nimepoint out gari zinazofanana..
Jimmy ya 660cc na 1300cc
Passo piston 3 na 4..!

Jimmny 660cc na 1300cc ni gari za uzito tofauti.

Whats your point?
 
Aisee truck ni gari ya biashara!!!!
Uber ni biashara inayofanywa na trucks!!!!?
Hizi ndio reasoning ulizokuwa unasema!!!

1.6lt bado hujaipata point..
Unaweza kwenda nayo Mwanza na kurudi kwa pace yako.. Ila ukisema ufuate pace ya 1vd-ftv kwanza nilipendelea kusema haitowaka.. Huwezi kutoboa..!!

Mafundi chini ya mwembe wanachangamto ipi!!?

Wewe unaleta story za vijiwe vya kahawa.

Kwa hiyo 1.6L TDI hapa mpaka mwanza unatakiwa usafiri nayo kwa speed gani ili utoboe?
 
Rpms zitakuambia.. Ukiwa unakaribia redline ndio less relaxation..!

Mfano uwe realistic... Maana niliweka mfano wa Scania ikawa nongwa..
Simple reasoning..!!!
 
Niletee 1hd yenye kilometre milioni

ADSKFJHLA..!!!
Aisee yaani bado unaonesha ugumu kuelewa..!
LC200 vs BMW- mbio...!!
Smaller engine vs Bigger engine- life span..!!
Wapi nimesema kuna LC200 ya hizo kms!!? Mimi naongelea engine kubwa ina maisha marefu.. Sasa naona mnaanza kuweka limits..Halafu kitu kama wewe hujui kitu sio kwamba hakipo... Kuna Tundra.. Kuna 70 series kuna 80 series ambazo zimeclock zaidi ya 1M kms..!!!

Naona mnakimbia kuswitch aina za magari badala ya kubase kwenye point ya msingi cc nyingi gari inaishi muda mrefu..!
Nimeuliza swali kakimbia.. Tofauti ya internal combustion engine ya sedan na scania ni ipi..!!!

Aisee na huu ndio mfano wako..!!! CC 5700 ukiitunza vibaya inakufia na cc 1300 ukiitunza vizuri itaendelea kudumu mpaka hilo body life... Kwahiyo moja ukizitunza zote vizuri zitadumu sawa!!!?
Suzuki Jimmy ya 660cc iwe na maisha sawa na 1300cc...!!!
Passo ya piston 3 iwe maisha sawa na ya piston 4..!!!
Nissan patrol y61 ya 3.0 iwe na maisha sawa na 4.2..!!!
Bmw e361.6lts iwe na maisha sawa na 2.5lts..!!
Aisee inabidi upgrade game yako ya magari.. Fanya research zaidi au uwe unaulizia tunakupa maelekezo..!!!
80 series yenye 1m nimeona na tundra ndo zipo nyingi
 
😁😁😁
 
Kuna gari ina 2000cc namba ADK ni nzima na kuna gari 4500cc ipo juu ya mawe. Na kuna gari nyingi tu za namba A na B zinadunda mitaani, kwanini hazijafa?

Usipotunza gari yako kama inavyotakiwa hata iwe na cc 13,000 lazima ife.

Ukizitunza zote lazima zitadumu mpaka either body ife au uamue kuiuza scrapper.

Nini kinafanya engine ya 900cc inayotunzwa vile inavyotakiwa ife? Yani unaamka asubuhi gari imejifia tu? Kuna gari namba D engine imeshaanza kukongoroka na ingine namba B engine bado inadai. Zote 2500cc.

Kuna huyo alifikisha 500k kwenye 1.6l engine. Hiyo ni engine kubwa?

BTW, kukariri engine codes hakukufanyi uwe mtabe, experience na simple reasoning inaweza ikakushinda vilevile.
Naona mfa maji bado unatapa tapa ok je zikitunzwa zote unataka sema hio ya 2l itaishi sawa na 4l?
 
Kipimo kirahisi kabisa Cha durability za magari Ni angalia wakandarasi wakiwa field Ni GX ngapi unaona wanazitumia kwny kazi zao za kila siku vs hao hao wakandarasi wakienda field kila siku Ni Benz/BMW/Audi/Land Rover/Volvo ngapi/model gani hua unawaona nazo field.

Ukifanyika tena mkutano wa wakandarasi (CRB) nitakushtua uende kwny parking Yao ujionee magari Yao ni yapi,Ni full GX/VX/LC's na Wana uwezo wa kununua Gari yoyote Ile waitakayo kibongo bongo.Hizo RR,BMW,Benz hua wanaenda nazo church,harusini etc na sio field.Kisa Ni Nini? Durability.
Ni kwa tz nenda kenya utashangaa serikali zipo na vw zakutosha
 
Scania moja ikibeba 500kg na nyingine ikabeba 1000kg. Ipi iko stressed zaidi?
Aisee huo uzito wa mzigo kwa Scania haitafeel chochote..
Sababu gari yenyewe tuu ni nzito zaidi ya huo mzigo..!
Unlike Suzuki jimmy.. Ukiongeza mtu mmoja tuu nyuma wa 80kgs utafeel gari kabisa ina mzigo..
 
Back
Top Bottom