Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,758
Mie msafiri sana wa hiyo njia mashimo yaliyopo machache sana na ni madogo yasio na shida, nimekuwa mpenda ligi sana na kigari kidogo tu hao wajapan nilikuwa nawaweka sana chini na barabara hiyo na mwendo wangu na hizo barabara unazo sema zina mashimo ni 200-240kmh.. Kuna gari ya toyota ambayo huwa iki respond challenge pekee ambayo huwa nakuwa mpole ni VXR lakini wengi wao nalala nao mbele 😀😀😀😀😀😀 mwisho wa siku kila gari ina uzuri wake binafsi napenda VXR official purpose sio gari nyonge hata kidogoNi mkeka Sawa ila kunakua na mashimo ya hapa na pale ya kushtukiza bila kusahau rasta na bumps. Hapo ndipo mjapan anapiga bao na LC 200
