KndNo1
JF-Expert Member
- Oct 26, 2021
- 627
- 2,025
- Thread starter
- #381
Yes nakubaliana.. Kila mmoja ana strength zake.. Ila usiseme hawawezi kufananishwa..!Haha lazima mkubali kuwa Bimmer hajamzidi LC kwenye kila kitu. Vivyo hivyo kwa upande wa simu kuna baadhi ya android kama Samsung ambazo zimezizidi iPhone baadhi ya vitu.
Ukifananisha nguvu..luxury.. Mjerumani..!
Ukija kwenye uimara.. Practical kwa hapa nyumbani TZ.. Mjapani..!