Bimmer na Landcruiser V8

Sifa kubwa ya bimmer na ndg zake wa ujerumani utasikia tu ukifungua mlango wake Ni mzito saaana πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„.
Cheki chuma hii 😊😊😊 mtoto akiingia analegea mwenyewe
CDDD5C31-01B5-48C9-9F59-E13186CFD0FA.jpeg
 
Dooh kweli mkuu mimi watumiaji wa Bimmer naonaga hawana tofauti na baadhi ya watumiaji wa iPhone yaani wote wale wale tu waliokunywa uji wa mgonjwa. Hawataki kukubali kwamba kuna sehemu wamezidiwa.

Watumiaji wengi wa iPhone huwa wanadhani hakuna simu duniani kama iPhone na wanadharau sana watumiaji wa android. Wakati android hazifanani kuna Samsung kibao tu zinakalisha hizo iPhone tena za range moja.

Nimeshangaa watu wanang'ang'ania kufananisha hadi VX.R V8 na Bimmer duuh. Kuna watu ni Bimmer maniacs na huwa wanazipondea sana gari za mjep ila wanakuambia VX.R V8 ni moto wa kuotea mbali aiseee.
Aisee Bimmer haiwezi kufananishwa na Landcruiser..!!?
Itakuwa unafahamu model chache sana za Bimmer..!
Bila kusahau iPhone ni moto aisee.. Hiyo mada ya siku nyingine..!!
 
Aisee Bimmer haiwezi kufananishwa na Landcruiser..!!?
Itakuwa unafahamu model chache sana za Bimmer..!
Bila kusahau iPhone ni moto aisee.. Hiyo mada ya siku nyingine..!!
iPhone watuache tu kama tulivyo au sio πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜….. cha kwanza hazishuki thamani kama hizo zingine
 
Exposure nyie hamna. Mmeishia kuona LC za serikali hapa bongo basi nyie mnauona ndio kila kitu. Sasa kama huna experience na gari aina nyingine unatoa maoni gani? Umeendesha x7? Hapana, GLS? GLE?? G65? , macan? Q7? Q8? Yote hapana. Sasa unataka kusema fulani ni bora wakati hujaendesha/ku experience hizo nyingine?
Mimi sijawahi ziendesha hizo mkuu ila nimezipanda baadhi tu. Ila ninaowafahamu walioendesha karibu hizo zote na wanaojua kuchambua magari wanakuambia wazi kabisa.
 
Android msijilinganishe na IOS aseee.. IOS ache iitwe hivyo watu hadi wanauza utu wao kwa IOS na sio android ndio utajua IOS habari ingine hata uzinduliwaji wake huwa wa kipekee sana
Kuna Samsung ziko vizuri kuliko iPhone. Hujatumia Samsung high range wewe.
 
Aisee Bimmer haiwezi kufananishwa na Landcruiser..!!?
Itakuwa unafahamu model chache sana za Bimmer..!
Bila kusahau iPhone ni moto aisee.. Hiyo mada ya siku nyingine..!!
Haha lazima mkubali kuwa Bimmer hajamzidi LC kwenye kila kitu. Vivyo hivyo kwa upande wa simu kuna baadhi ya android kama Samsung ambazo zimezizidi iPhone baadhi ya vitu.
 
Umetumia iPhone mwisho ipi kwanza
Nimetumia iPhone 12 Pro Max na nimetumia Samsung Galaxy S20. I'd still go for Samsung aisee and a lot of people would maana iPhone users wengi wanafuata mkumbo tu.

Na ndiyo nimeamini siyo kila mtu anayeziponda iPhone eti hana uwezo wa kununua kama wafungwa wengi wa iPhone mnavyodanganyana. Kuna watu wanajua kuchambua simu.
 
Unafikiri Samsung ni bora katika nyanja ipo zidi ya iPhone au unafikiri iPhone ina ubora gani zidi ya Samsung πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… umeona uwapa ya kidevu wafungwa wa iPhone
 
Tukiwa safarini na wadau.. Tukasema tupime mwendo na Landcruiser.. Matokeo ndio kama hayo..!

Hii test tumeifanya kwa kipande kifupi.. Then tukapunguza mwendo Landcruiser ikapita.. Rpms kwetu zilikuwa zinacheza kwenye 6k..V8 yeye engine kubwa stamina ya kutosha.

Tahadhari spidi kali ni hatari..ndio maana hapo kwenye dashboard kuna vitabu vya dini.. Incase chochote kikitokea tunakimbilia kutubu.

View attachment 2020608
hiyo kitu achana nayo, iache tu iende wala hutakiwikushindana nayo.
 
Unafikiri Samsung ni bora katika nyanja ipo zidi ya iPhone au unafikiri iPhone ina ubora gani zidi ya Samsung umeona uwapa ya kidevu wafungwa wa iPhone
Haha iPhone ni gereza mkuu ambalo wafungwa wake wengi ni bendera fuata upepo tu na wameshikiwa akili. Jaribuni kutoka kwenye hilo gereza mjaribu na brand nyingine kama Samsung muone utamu wake siyo mnasifia kwa mihemko tu!
 
Back
Top Bottom