Billioni 95 zilikotoka | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Billioni 95 zilikotoka

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Njowepo, Aug 4, 2011.

 1. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #1
  Aug 4, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Kumbe wamekwapua toka katika budget ya ujenzi kwenye fungu la billioni 300 la miradi maarum.
  Lissu akauliza mnachukuaje ela toka kwa bajeti ambayo ishapitishwa?
  Speaker anasema kanuni ya 102 na baadae wataiclear kwa kutumia appropriation bill
  Magamba makanyanga kweli kwa nini wasichote toka bajeti ambazo hazijapitishwa.
   
 2. Msarendo

  Msarendo JF-Expert Member

  #2
  Aug 4, 2011
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 9,146
  Likes Received: 3,335
  Trophy Points: 280
  Magamba wamepoteza dira.
   
 3. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #3
  Aug 4, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Kafulila anasema ni suala la kuchoka so ni mwendo wa tia maji tia maji.
   
 4. Imany John

  Imany John Verified User

  #4
  Aug 4, 2011
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 2,777
  Likes Received: 262
  Trophy Points: 180
  huo ndo ukweli.

  Matatizo
   
 5. Josephine

  Josephine Verified User

  #5
  Aug 4, 2011
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 787
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  hatuna serikali makini.nawaambia yote ni propaganda tusubiri tuone.
   
 6. F

  FJM JF-Expert Member

  #6
  Aug 4, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Kwa nini wasichukue hela zote za Wizara ya Wassira na kuifuta maana haina tita kwa Taifa. Na hata Wizara ya Uwekezeji ingefutwa kabisa na kuokoa hela. Hizi Wizara mbili hazihitajiki hata kidogo.
   
 7. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #7
  Aug 4, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  changa la macho..hizo pesa zimewekwa kwenye maandishi tu labda waongee na shimbo au cheji za epa si tuliambiwa zimerudishwa..
   
Loading...