Billioni 87, Mo anazijua hesabu za magazijuto?

Bilioni 87 ukitoa (minus) (Bil 20 za uwekezaji + mapato ya jezi + Idadi ya matangazo ya bidhaa za mo kwenye jezi na gari la simba + udhamini wa m-bet + udhamini wa NBC + udhamini wa Azam + goli la mama+ ndege ya mama + fedha za CAF + Aluminum + viingilio vya uwanjani + ada ya wanachama) = Y.

Wanasimba tafuteni thamani ya Y kisha mlinganishe na 87b anayosema mo.
Simba ili iendelee inabid waachane kabisa na Mo jamaa ni tapeli na janja janja sana pia viongozi wa simba waoke hadharan watwambie katika bajet mapato na matumiz misimu yote saba mo alikuwa anatoa kias gan katika uendeshaji wa timu na wao kama timu bajet zao zilikuwa zikoje otherwise simba kuna upigaji mkubwa sana na Mo analijua hilo ndo maana ana watega jamaa kwa kuwa anajua hawakeep records zao vizur sababu ya wiz
 
Hii ni hoja dhaifu sana,kumbuka kuwa MO anaingia mikataba na Simba juu ya matangazo na anailipa simba fedha,sasa unahoji vipi mapato apatayo kwa fedha anazoingiza kwa hayo matangazo?Ukiacha fedha anazolupa za matangazo bado anawapa simba fedha kuendesha timu,na amewekeza bil 20 na simba wamewekeza hizo fedha utt.Kumlaumu au kumzodoa MO sio sawa,moeni heshima yake.Unadhani yeye ni mjinga atumie fedha zote hizo bila maandishi? Na kama hizo fedha huwa hatoi unadhani hao viongozi wa simba hawawezi kutoka hadharani kumpinga?
Anawapa fedha na wanamtegemea kwa kila kitu
 
Jamaa tapeli sana simba waseme pesa za mapato mengine wanapeleka wap,simba kuna upigaji muhindi anajua ndo maana anaropoka namba za ajabu
Kabla ya kumtoa mo wamng'oe Magori kwanza waweke damu changa kabisaa kwenye uongozi. Magari bado ana zile DNA za mpira wa zamani wa kamati za ufundi, kuchimbia vichwa vya mbuzi. Mpira umeshahama huko kitambo.
 
Hii ni hoja dhaifu sana,kumbuka kuwa MO anaingia mikataba na Simba juu ya matangazo na anailipa simba fedha,sasa unahoji vipi mapato apatayo kwa fedha anazoingiza kwa hayo matangazo?Ukiacha fedha anazolupa za matangazo bado anawapa simba fedha kuendesha timu,na amewekeza bil 20 na simba wamewekeza hizo fedha utt.Kumlaumu au kumzodoa MO sio sawa,moeni heshima yake.Unadhani yeye ni mjinga atumie fedha zote hizo bila maandishi? Na kama hizo fedha huwa hatoi unadhani hao viongozi wa simba hawawezi kutoka hadharani kumpinga?
Anawapa fedha na wanamtegemea kwa kila kitu
Hesabu za mo ni kujumlisha tu, hazina kutoa, kugawanya, kuzidisha Wala mabano popote pale. Anavyozitaja hizo 87b ni kana kwamba yeye hajapata returns zozote kwenye hizo 87b. Yaani yeye ni kutoa kutoa kutoa tu milele na hakuna kinachorudi. Hii sio sawa na kama ndiyo hivyo basi Simba Kuna shida. Angalau angekokoa japo faida (effect) anayoipata kwa Simba kutangaza bidhaa zake.
 
Simba ili iendelee inabid waachane kabisa na Mo jamaa ni tapeli na janja janja sana pia viongozi wa simba waoke hadharan watwambie katika bajet mapato na matumiz misimu yote saba mo alikuwa anatoa kias gan katika uendeshaji wa timu na wao kama timu bajet zao zilikuwa zikoje otherwise simba kuna upigaji mkubwa sana na Mo analijua hilo ndo maana ana watega jamaa kwa kuwa anajua hawakeep records zao vizur sababu ya wiz
Amini usiamini Siri ya utajiri wa dewji iko kwenye pre-seasons za Simba.
 
Hesabu za mo ni kujumlisha tu, hazina kutoa, kugawanya, kuzidisha Wala mabano popote pale. Anavyozitaja hizo 87b ni kana kwamba yeye hajapata returns zozote kwenye hizo 87b. Yaani yeye ni kutoa kutoa kutoa tu milele na hakuna kinachorudi. Hii sio sawa na kama ndiyo hivyo basi Simba Kuna shida. Angalau angekokoa japo faida (effect) anayoipata kwa Simba kutangaza bidhaa zake.
Tueleze return zinarudije?
 
Tueleze return zinarudije?
1. Kuuza wachezaji (e.g. chama, miquison, Sako, Mbwana, nk)
2. Udhamini (NBC, Azam, SportsPesa, m-bet, CRDB, Air Tanzania nk),
3. Mauzo ya bidhaa zake kutokana na kutangazwa na simba ndani na nje ya nchi
4. Zawadi za ushiriki (CAF, TFF, mapinduzi)
5. Viingilio
6. Ada za wanachama.
7. Mali za chama,
8. Mauzo ya jezi na bidhaa nyingine zenye logo ya Simba
 
Hizi ni return kwa Simba au Kwa MO?
Huwa wanagawana kinachopatikana?

Vipi niambie kuhusu na matumizi ya timu.
 
Bilioni 87 ukitoa (minus) (Bil 20 za uwekezaji + mapato ya jezi + Idadi ya matangazo ya bidhaa za mo kwenye jezi na gari la simba + udhamini wa m-bet + udhamini wa NBC + udhamini wa Azam + goli la mama+ ndege ya mama + fedha za CAF + Aluminum + viingilio vya uwanjani + ada ya wanachama) = Y.

Wanasimba tafuteni thamani ya Y kisha mlinganishe na 87b anayosema mo.
Hata ukijitoa kushabikia Makolo tutakuwa tunakujuza matokeo pindi wakigongwa
 
Back
Top Bottom