Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,522
- 24,010
Sijaona ambacho kinaweza kushtua sana kutokana na yanayoendelea dodoma kusimamishwa na kupewa onyo watu kadhaa. ni siasa zile zile za miaka yote labda kwa sasa zimekuja pasipo kuwa na unafiki wa kiwango cha juu zaidi kama zamani.
Aliposimama Magufuli kuzungumza wakati flan alisema wazi kuwa angewatosa watu kadhaa kutolana na kile ambacho yeye alikiona kama ni hujuma kwa chama chake. hili mimi sikuliona kama ni baya. huu ulikuwa msimamo wake hapo kabla. lakini nlikuja kujifunza kitu kimoja. miaka yote chama cha mapinduzi kimekuwa na wnaachama na viongozi wa Kimaslah zaidi,kinafiki na kifisadi. nliwah kumwambia jamaa mmoja na wengine pia mara kadhaa kwa mtu aliye mchafu ni ngumu sana kuhama CCM. ni suala gumu kama maji kupanda mlima. ukiona mtu ana uwezo wa kuhama ccm ki ukweli kweli si kwa kupandikizwa ujue huyo alishajipima hasa.
asilimia 80 ya waliokuwa kwenye mkutano ule wa dodom baada ya kukatwa kwa jina la edward lowassa waliimba wana imani naye. na wengi walikuwa toka awali wanaonesha kumuunga mkono. ni wangapi waliondoka naye? huu ni unafiki wa kiwango cha Lami. akina nchimbi ,akina sofia simba,madabida n.k hawa walikuwa wakionesha kabisa kuwa walikuwa wanakubaliana na Edward lowassa. lakini walichukua hatua gani walipoona kuwa ametendewa isivyo? unafiki huu hata mimi kama ngosha nisingeuvumilia.
siasa zetu zimekuwa za kimaslah zaidi kuliko uhalisia. na ndo maana wale watu ambao walionesha kumuuunga mkono lowassa ni hao hao waliokuja kubadilika na kuanza kumsema vibaya kwenye kampeni. akina nchimbi hawakufaa kuitwa baba huko kwao. sofia simba alibaki akimtumikia nani? huyu nchimbi alitoka na kutoa tamko lenye kuonesha hasira kutokana na alichoona kimefanyika kwenye mkutano wa kuchagua wagombea rais. lakin ni huyu huyu aliendekea kumnadi mgombea rais ambaye hakuwa akifaa kwa mtazamo wake.
tofauti na wazungu. donald trump alipochaguliwa na kugombea urais kwa chama cha republican kuna ambao walikuwa ndani ya chama chake walimpinga wazwaz akiwepo george bush. wazungu hawaamini sana katika unafiki. ni tofaut na sisi. bush alimpinga trump na aliendelea kumpinga na watua mbao walimpinga walimpinga kwa hoja na wakaendelea kumpinga.
afrika ni tofaut sana. kwa sababu tunaangalia maslah zaid. na katika hili watu wajipambanue kuwa wapo mlengo gani. hili nadhan ngosha apongezwe afanyae anavyoona ni vyema lakini kwa kumuacha nchimbi hapo nadhani alikosea. haijalishi nchimbi alijipendekeza vipi lakini kwa sisi watu wa bara huwa aina ya watu kama akina nchimbi hatuiamini tena. watu wanafiki vinyonga na ndumila kuwili ni watu wa kuwaogopa sana.
sofia simba na wenzie walipaswa tu kufanya hesabu ndogo za MAGAZIJUTO. jibu lake lingemfanya mapema ajue kuwa alipaswa kustaafu siasa kwa heshima kuliko kusbiri kufukuzwa. ingawa namsifu kuwa inaonesha aliendelea kushikiria msimamo wake ule ule na ndo maana mkuu hakuona sababu ya kuendelea kuwa naye katika chama.
huu ni ujasiri wake pia ingawa pia katika hilo kuna udhaifu. wkati nchimbi alirudi na kulamba viatu vya mheshimiwa huyu mama aliendelea kushikiria msimamo wake. lakini sofia simba hakuwah kuwa na impact katika ujenzi wa taifa hili. labda katika ujenzi wa chama nitakubali. kama alivyo nchimbi etc.
MAMBO YA NGOSHA MWACHIE NGOSHA