Billionaire Samweli Lema wa Arusha Ndani ya Segerea

Sasa kama askari anapandishwa cheo kwa kugombana na mke wa waziri unashangaa nini tajiri akitiwa msukosuko ?.
Mimi sihangai mkuu mambo ya awamu hii, kama rais anaweza kusema angewapoteza watu kwa kuimba wana imani na mtu fulani halafu huyohuyo anasema tuienzi amani, hapo nitashangaa kipi zaidi ya hiki?! Najionea maigizo tu.
 
Hivi kwa nini watu wa Arusha wakikamatwa kwa kuiibia serikali mnawatetea na kusema wameonewa?
 
Mimi sihangai mkuu mambo ya awamu hii, kama rais anaweza kusema angewapoteza watu kwa kuimba wana imani na mtu fulani halafu huyohuyo anasema tuienzi amani, hapo nitashangaa kipi zaidi ya hiki?! Najionea maigizo tu.

Kwa hiyo tukusaidiaje sasa, labda?​
 
Sasa kama askari anapandishwa cheo kwa kugombana na mke wa waziri unashangaa nini tajiri akitiwa msukosuko ?.
Na usisahau Arusha na Dar Lowasa alimfunika Ngosha kwa kura nyingi kupita maelezo, hii mikoa miwili ana beef nayo, na Dar ndio ameamuwa kuhama kabisa bila hata bungeni kupitishwa bajeti ya shughuri hiyo.
 
Umefanya nicheke kwa sauti mkuu
Kumbe anahama dar kwa sababu flani?
 
Huna haja ya kuficha jina la Jizi hilo lililokua muhasibu wa Lema, alikua anaitwa Tarimo. Huyu jamaa alikua mshenzi sana na alijiona Mungu mtu ndani ya Elerai
 
Umeongea point sana kiongozi na kama iko hivyo basi tusubiri maana mahakama itatenda haki na lema atakua huru
 
Acheni Mamlaka husika zifanye kazi zake akipatikana na hatia sheria ichukue mkondo wake.
 
Daah huyu si ndo alikuwa anashika tender zote za majengo ya Serikali? Kajenga almost ofisi zote za makao makuu ya wilaya na mikoa zilizojengwa from 2000's kumbe jipu??
Dodoma kajenga stand zote za mabasi ya mikoani na za vituo vya Daladala, bado na 50% kwa Madiwani kumbe hela ipo
du kweli mwisho umefika
 
Huo ndio ugomvi uliopo mkuu. Area D inaenda kua kama Masaki sasa
Uugomvi kati ya mgogo na mzaramo kwasasa haukwepeki, wazaramo walizizoea STK, STL nk Dar ila sasahivi Magu kaamua awawpelekee wagogo Dom
Du nimecheka sana
sisi wagogo hamtupendi
ila Lowassa akichukua 2020 atayahamishia Makao Makuu ya Nchi Arusha kwani bado uamuzi huu si wa Kikatiba na haupo na matakwa ya Nyerere na Magu kutunyanyua.
 
Mkuu nasita kuyaamini maneno yako lakini kuna sehemu nimekuta haya maneno ambapo ukiunganisha dots iantoa mwanzo wa kuanza kufikiri kama wewe! Ngoja tusubiri kuona muda utatueleza nini.
Na usisahau Arusha na Dar Lowasa alimfunika Ngosha kwa kura nyingi kupita maelezo, hii mikoa miwili ana beef nayo, na Dar ndio ameamuwa kuhama kabisa bila hata bungeni kupitishwa bajeti ya shughuri hiyo.
 
Kila mtu ajiangalie,JPM hana huruma na wezi, zile Zama za kusifia wezi ndio zinaisha hvyo
 
Wakimaliza hayo kuna epa
Rada mbovu
Kivuko kibovu
Tegeta escrow
Richmond nk

Nje ya hapo tunafarijiana tuu wanasiasa nao wengi majizi tuuuu na bado tunawaita waheshimiwa
 
Wote ni zao la ccm ambayo yeye ameihudumu kwa miaka kadhaaa
 
Mabillionaire wengi wa Arusha ni wezi na majambazi.
 
LHRC na Ukawa watasema hii ni kinyume cha haki za binadamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…