Billcanas wanakwepa kodi, TRA tafadhali chukua hatua

Billcanas wanakwepa kodi, TRA tafadhali chukua hatua

Club BILLICANAS ina wafanyakazi wengi tuu na haya ndiyo malalamiko yao:-

1. Wamefanya kazi muda mrefu lakini hawana mikataba inayoeleweka

2. Hawahaunganishwa na Mifuko ya Hifadhi ya Jamii

3. Hawajaunganishwa na Bima za Afya nk

Hilo nalo liangaliwe.

Queen Esther

Ngonjera iko wapi? Nimekueleza kwamba hawatoi risiti. Na risiti ni haki yetu walipaji wa tozo yeyote ile.
Nimeomba pia kumbi zote zichunguzwe, sio Billcanas tu.

Sasa unataka niwaambie nini TRA

Tanzania KWANZA, vikojozi baadaye
 
Nyumbu ww usojitambua, upo wapi na wapi waenda, nasisitiza hafilisiwi MTU, km jeuri kweli anza na kinana alomaliza tembo wetu, na utuoneshe na ule mkataba ulosaini na wachina toka mtwara hadi bagamoyo, utuwekee hapa tuone ndo nitakuona ww kweli ni beberu

Atafikiwa tu na tutamkamua kinyesi
 
Huyo Makengeza afilisiwe mali zote za urithi...mshenzi mkubwa huyo...yani wananchi tunaangaika hatupati huduma kumbe halipi kodi ya biashara zake!?!😠
MSHENZI NI BABAAKO NA MAMAAKO ....
Shwain!?
 
Mbowe awe mfano kwa wanasiasa wakwepa kodi!
 
jitu lisilolipa kodi, jitu linalobaka demokrasia, jitu linalominya upinzani, jitu lenye uroho, jitu lisilopingwa, jitu linaloendekeza ukabila, jitu lenye uchu wa madaraka. Jitu jitu

anaye baka ni babayo kwa mamayo!
 
Unapaswa kupewa risiti yako. Tusifanye mambo kimazoea, kisheria napaswa kupewa risiti. Tuweke tabia ya kudai risiti pale tu tunapofanya malipo yeyote, nchi za wenzetu, pipi tu unapewa risiti. Hii inasaidia taifa kukusanya kodi.

Risiti,risiti,risiti.

MKUU SANA MBONA ULIPO DUNGWA MSUMARI HUKO BEHIND ...HUKU MPA RISITI MDUNGAJI ili nchi ipate mapato?
 
Hakuna club inayotoa risiti mlangoni bongo, tunaojua ni sisi tunaoenda club sio nyie wapuuzi
 
cHUKI YANGU NI KWA YEYOTE ANAYEKWEPA KODI, YEYOTE. UKUMBU HUO UCHUKUA WATU 2000 NA ZAIDI. SODA NDANI SHS 2000, BIA SHS 4000. KIINGILIO SHS 10,000.

SASA HAPO TUNAOMBA RISITI TU, ILI TRA IFAIDIKE NA HIZO BEI
TEAM KUKURUPUKA @work
 
Wasanii wakifanya show wanalipa kodi? Au tamasha lolote? Na kumbi za harusi na harusi zenyewe wanalipa kodi?
 
Ijumaa tarehe 26.11.2015 rafiki yangu alifika Billcanas Club kwa ajiri ya kujifurahisha ambapo Club hiyo ilikuwa inazinduliwa upya baada ya kufunga mitambo mipya.

Alipofika mlangoni, alilipa kiingilio cha shs 10,000. Akaomba risiti ya malipo lakini hakupatiwa. Akasisitiza na kuambiwa hapa hakuna risiti. Risiti ni haki ya mlipaji. Risiti uonesha serikali inapata kodi kiasi gani kutokana na tozo. Naomba ukumbi huu na kumbi zote zianze kutoa risiti mara moja la sivyo TRA iwafungie.

Ukumbi unaobeba watu 2000. wakilipa 10,000. ni sawa na 20,000,000. Ni pesa nyingi zinapotea, hapo bado vinywaji ninauzwa bei ya juu sana ndani bila risiti yeyote. TRA chunguzeni hizi sekta za burudani, taifa linapoteza mapato humo.
Mbona umenyonya mziki kwenye flash lakini hukugagania kupewa risti hujui kuwa umekwepa kodi au maandaz uliyokula Leo umelipia kodi ?
 
Nitajie club zinazolipa kodi hapa nchini na kutoa risiti we mwana hizaya..!
 
watabaki waaminifu wanaoipenda tanzania kwa dhati kutoka moyoni, sio majizi na mafisadi

Kwa shuluba walizopata CCM kutoka upinzani, wasingemwacha Mbowe akwepe kodi kirahisi hivyo.
Mfanyabiashara yeyote TZ akiwa upinzani huweza kuzuliwa zengwe hadi kufilisiwa biashara zake, sembuse kukwepa kodi?
Wafanyabiashara wengi wana kadi za fisiem ili kulinda biashara zao.
 
Mnataka kuwafukia UKAWA, sasa waacheni wapumue kidogo na huyu mchuuzi wa kuuza mbuzi kwenye gunia.
 
Bado hata wenye majumba ya kupangisha wanachukua fedha yote bila kulipa kodi
 
Hao walokuingiza ni mafisadi tu walikuwa wanamwibia mbowe! Ulitakiwa upewe ticket!

sasa hayo ni sawa na bhakresa na bandalini, inawezeka boss bharkresa hajui kama mbowe asivyojua juu ya risiti!
 
Back
Top Bottom