Billcanas wanakwepa kodi, TRA tafadhali chukua hatua

Billcanas wanakwepa kodi, TRA tafadhali chukua hatua

ushahidi ni kutopewa risiti. Unataka ushahidi gani mwingine..


Akili zako ziko sawasawa kweli??mimi naamini vipi hakupewa risiti??kwani mimi siwezi kuja hapa na kusema ukumbi flani hautoi risiti??
 
Hebu nipe mfano wa matumizi bora ya kodi ninayolipa coz hata hapa hii bundle ya 8mb nimeshalipa kodi, nipe matumizi yake kama siyo kukulipa wewe mshahara wako

Mkuu kulipa kodi ni wajibu na ni moja kati ya sheria za kuendesha biashara kwa mpiga kelele kama mbowe alitakiwa alipe kodi kutimiza sheria haijalishi inatumikaje,ili mradi atimize wajibu wake,then yeye kama mbunge ahoji sasa matumizi ya kodi lkn baada ya kulipa siyo kuleta visingizio vya matumizi ya kodi kuikwepa,
 
Wako wapi GT wa JF? siku hizi kuna mipasho tu,nilifikiri itaisha baada ya Oct 25.
 
Kwanin mnatokwa na povu km mtoa mada anachoongelea kina ukweli kwann tusijadili nn kifanyike badala yake mnaleta uchama hapa mbowe ninani ktk nchi hii mkuu Uzi ni mzuri sana lkn bahat mbaya umemtaja mngu mtu huyo na nyumbu zimefumuka huko kwa hasira yamekaa kinafiki kila mahali.
 
Huyo Makengeza afilisiwe mali zote za urithi...mshenzi mkubwa huyo...yani wananchi tunaangaika hatupati huduma kumbe halipi kodi ya biashara zake!?!😠

Sema humu Kinana ana kampuni ngapi za meli pale Bandarini? anazo ngapi za uwakala wa kupakua mizigo? Analipaje kodi? Usitake tuanze kumwaga mboga hapa! Nadhani mshenzi ni wewe usiyejua kitu kuhusu nchi yako inavyoliwa.Simtetei Mbowe lakini katika walipa kodi wazuri wa serikali ni pamoja na yeye! Hutaki nenda TRA wana kumbu kumbu uonyeshwe usijambe jambe Kutoa matusi hovyo kwa usichokifahamu.
 
Mimi naendaga pale Mara nyingi kujivinjali, risit Huwa ZINATOLEWA pamoja na ticket. Hata hivyo Kuna haja ya kuweka mbinu mpya ya ukusanyaji kodi kwenye kumbi za starehe. Pale Maisha hawatoi risiti kabisa
 
Mkuu kulipa kodi ni wajibu na ni moja kati ya sheria za kuendesha biashara kwa mpiga kelele kama mbowe alitakiwa alipe kodi kutimiza sheria haijalishi inatumikaje,ili mradi atimize wajibu wake,then yeye kama mbunge ahoji sasa matumizi ya kodi lkn baada ya kulipa siyo kuleta visingizio vya matumizi ya kodi kuikwepa,

Una uhakika kwamba Mbowe halipi kodi au huyu mleta mada una uhakika hakupewa risiti? Niko hapa matunge bar nishapiga bia sita na risiti sijapewa una ushahidi kama ni kweli sijapewa risiti na efd wanayo au hawana?
Usiendeshwe na jf.

Kulipa kodi ni lazima, je hizo ndiyo mmejiwekea sheria ya kwenda kufanya semina bagamoyo na kujilipa allawance za bure?

Hiyo kodi inafanyia nini cha maana ktk nchi hii?
 
Ijumaa tarehe 26.11.2015 rafiki yangu alifika Billcanas Club kwa ajiri ya kujifurahisha ambapo Club hiyo ilikuwa inazinduliwa upya baada ya kufunga mitambo mipya.

Alipofika mlangoni, alilipa kiingilio cha shs 10,000. Akaomba risiti ya malipo lakini hakupatiwa. Akasisitiza na kuambiwa hapa hakuna risiti.

Risiti ni haki ya mlipaji. Risiti uonesha serikali inapata kodi kiasi gani kutokana na tozo. Naomba ukumbi huu na kumbi zote zianze kutoa risiti mara moja la sivyo TRA iwafungie.

Ukumbi unaobeba watu 2000. wakilipa 10,000. ni sawa na 20000000.

Ni pesa nyingi zinapotea, hapo bado vinywaji ninauzwa bei ya juu sana ndani bila risiti yeyote.

TRA chunguzeni hizi sekta za burudani, taifa linapoteza mapato humo.

Mkonozi, mzee wa sina habari a.k.a selemaa

Tanzania kwanza, vikojozi baadaye

Mnaanza kumchokonoa mbowe sasa
 
Ni wajibu wetu kuwaambia TRA pale tunaponyimwa risiti.

Tanzania KWANZA, vikojozi baadaye

Unavyojenga hoja zenye tuhuma huwa tunaangalia unavyoanza hoja,unavyowasilisha vielelezo na unavyohitimisha maelezo .ukichunguza yote hayo matatu utagundua maelezo yako ni less valued
 
mfano club moja tu, inakusanya milioni 20 mlangoni. Tufanye club 20 zenye ukubwa kama huo zinakwepa kodi weekend moja. Kwa mwezi weekend nne. Kwa mwaka.

Hapo bado upotevu wa kodi kubwa serikali inayokosa kutokana na vinywaji vinavyopandishwa bei mno. Mfano bia moja ni shs 4000. Wateja 2000 wanakunywa bia ngapi? Soda ngapi? Total lost revenue ni kubwa mno. Uko ulazima wa kuwa na efd mashine kwenye kumbi zote, kwenye mikusanyiko yote inayotoza viingilio na kadhalika. Hii inahusu pia fiesta za clouds, uko dar live na maeneo chungu mzima. Upumbavu wa tra, wanadhani weekend hamna mapato, wakati weekend ndo watanzania wanatumia mno pesa zao
Umenena vyema, sehem za starehe n chanzo kikubwa cha mapato, kuna majiji kama LA na MACAU wanasifika kwa kuendesha miji yao kutokana na mapato za kumbi za starehe! nadhan wakati umefika kwa TRA kuliangalia hili kwa umakini zaidi
 
Nyumbu ww usojitambua, upo wapi na wapi waenda, nasisitiza hafilisiwi MTU, km jeuri kweli anza na kinana alomaliza tembo wetu, na utuoneshe na ule mkataba ulosaini na wachina toka mtwara hadi bagamoyo, utuwekee hapa tuone ndo nitakuona ww kweli ni beberu
 
watu wa ccm bwana,wanataka kuhmisha hoja ya rais wao kudai wizi kwa kujifanya eti mbowe halipi kodi,tena wakishindwa kabisa watahamisha hoja ya ukwepaji kodi kujifanya ni ya dini
 
Wako wapi GT wa JF? siku hizi kuna mipasho tu,nilifikiri itaisha baada ya Oct 25.
Hapa kinacho ongelewa ni ukwepaji kodi sasa kuimiza watu kulipa kodi ni mipasho?
 
Back
Top Bottom