Unapaswa kupewa risiti yako. Tusifanye mambo kimazoea, kisheria napaswa kupewa risiti. Tuweke tabia ya kudai risiti pale tu tunapofanya malipo yeyote, nchi za wenzetu, pipi tu unapewa risiti. Hii inasaidia taifa kukusanya kodi.
Risiti,risiti,risiti.
Tatizo si kukusanya kodi, tatizo ni pale mnapopata hiyo kodi mnaitumia kwa kufaidisha matumbo yenu na familia zenu, VX kubwa full tank popote kambi, ukimaliza unakwea pipa to Europe kwenda kuweka salio uswis baadae ukirudi unakuja kutuambia watanzania ni wapumbavu sana, hawafanyi kazi kabisa lkn huku umeacha huduma zote za jamii zimedorora hakuna kinachooneka kila siku afadhali ya jana.
Kwa mpango huo nitakuwa na moyo wa kulipa kodi kweli na nidai risiti, hayo mawazo nitayatolea wapi wakati hata hela ya mlo mmoja sijaona