Leak
Platinum Member
- Feb 22, 2012
- 52,942
- 43,599
Kwa hiyo haya yana halalisha Mbowe kukwepa kodi?Wasanii wakifanya show wanalipa kodi? Au tamasha lolote? Na kumbi za harusi na harusi zenyewe wanalipa kodi?
Kwa hiyo haya yana halalisha Mbowe kukwepa kodi?Wasanii wakifanya show wanalipa kodi? Au tamasha lolote? Na kumbi za harusi na harusi zenyewe wanalipa kodi?
unaweza kushangaa kesho majaliwa na team yake wanatia team hapo.
Kwa hiyo haya yana halalisha Mbowe kukwepa kodi?
Ngonjera iko wapi? Nimekueleza kwamba hawatoi risiti. Na risiti ni haki yetu walipaji wa tozo yeyote ile.
Nimeomba pia kumbi zote zichunguzwe, sio Billcanas tu.
Sasa unataka niwaambie nini TRA
Tanzania KWANZA, vikojozi baadaye
Ijumaa tarehe 26.11.2015 rafiki yangu alifika Billcanas Club kwa ajiri ya kujifurahisha ambapo Club hiyo ilikuwa inazinduliwa upya baada ya kufunga mitambo mipya.
Alipofika mlangoni, alilipa kiingilio cha shs 10,000. Akaomba risiti ya malipo lakini hakupatiwa. Akasisitiza na kuambiwa hapa hakuna risiti. Risiti ni haki ya mlipaji. Risiti uonesha serikali inapata kodi kiasi gani kutokana na tozo. Naomba ukumbi huu na kumbi zote zianze kutoa risiti mara moja la sivyo TRA iwafungie.
Ukumbi unaobeba watu 2000. wakilipa 10,000. ni sawa na 20,000,000. Ni pesa nyingi zinapotea, hapo bado vinywaji ninauzwa bei ya juu sana ndani bila risiti yeyote. TRA chunguzeni hizi sekta za burudani, taifa linapoteza mapato humo.
Asante sana EDDY, umenyoosha maelezo. TRA inpoteza mapato mengi mno mwisho wa wiki kwenye hizi kumbi za usiku. Zikipewa EFD zote, halafu zikadhibitiwa kiuhakika, mapato makubwa sana yatakusanywa
Tanzania KWANZA, vikojozi baadaye
ule ukumbi una cctv camera police wakamate server wadown load ni ushahidi tosha kabisa then apigiwe hesabu kwa muda wote club hiyo imefanyakazi alipe mara moja na kama mmiliki ni mtumishi wa umma unabidi aondolewe mara moja hatuwezi kulea majizi serikalini hata kama ni mbunge.
Kumbe wewe ni kikojozi?[/QUOT
Tanzania KWANZA, vikojozi BAADAYE
Billicanas kwanza maeneo mengine baadaye,ww kama mbowe ni anko wako ndo sasa umwambie tunahitaji risiti
Kumbe wewe ni kikojozi?[/QUOT
Tanzania KWANZA, vikojozi BAADAYE
Asante kikojozi
pathetic....eleza vizuri toa na ushaidi sio una leta ngonjera humu. toa maelezo yaliyo nyooka ili kuisaidia TRA!