Billcanas wanakwepa kodi, TRA tafadhali chukua hatua

Billcanas wanakwepa kodi, TRA tafadhali chukua hatua

kama unaushaidi nenda karipoti 3% ya kodi wanayokwepa ni yako!

ule ukumbi una cctv camera police wakamate server wadown load ni ushahidi tosha kabisa then apigiwe hesabu kwa muda wote club hiyo imefanyakazi alipe mara moja na kama mmiliki ni mtumishi wa umma unabidi aondolewe mara moja hatuwezi kulea majizi serikalini hata kama ni mbunge.
 
Huyo Makengeza afilisiwe mali zote za urithi...mshenzi mkubwa huyo...yani wananchi tunaangaika hatupati huduma kumbe halipi kodi ya biashara zake!?!😠
Mama yako na wowo kubwa lazima huyo unaemtukana kapita kwa mama yako na makengeza.heshim watu wewe dada .

swissme
 
Inakuwaje mtu mwenye kiduka cha shanga kariakoo aambiwe awe na mashine ya efd halafu danguro kubwa kama hilo lisiwe na mashine za efd kwanini? tena ingewezekana wawe wanawasilisha mahesabu tra kila siku asubuhi kwa mauzo ya jana yake.

Pale kuna viingilio, vinywaji, nyama choma, malipo ya wasanii na madj haya yote hayalipiwi ushuru na kodi halafu huyu mtu tunamchekea tu. Hizi night clubs ziko ngapi nchi nzima? tunapoteza mapato kiasi gani?

kwanza kabla ya kufunguliwa NEMC walikagua kuona kama mazingira yako safi? kuna hewa ya kutosha? maji taka wanatiririsha wapi manake bar kama hiyo mikojo yeke usiombe.

Asante sana EDDY, umenyoosha maelezo. TRA inpoteza mapato mengi mno mwisho wa wiki kwenye hizi kumbi za usiku. Zikipewa EFD zote, halafu zikadhibitiwa kiuhakika, mapato makubwa sana yatakusanywa

Tanzania KWANZA, vikojozi baadaye
 
Ijumaa tarehe 26.11.2015 rafiki yangu alifika Billcanas Club kwa ajiri ya kujifurahisha ambapo Club hiyo ilikuwa inazinduliwa upya baada ya kufunga mitambo mipya.

Alipofika mlangoni, alilipa kiingilio cha shs 10,000. Akaomba risiti ya malipo lakini hakupatiwa. Akasisitiza na kuambiwa hapa hakuna risiti.

Risiti ni haki ya mlipaji. Risiti uonesha serikali inapata kodi kiasi gani kutokana na tozo. Naomba ukumbi huu na kumbi zote zianze kutoa risiti mara moja la sivyo TRA iwafungie.

Ukumbi unaobeba watu 2000. wakilipa 10,000. ni sawa na 20000000.

Ni pesa nyingi zinapotea, hapo bado vinywaji ninauzwa bei ya juu sana ndani bila risiti yeyote.

TRA chunguzeni hizi sekta za burudani, taifa linapoteza mapato humo.

Mkonozi, mzee wa sina habari a.k.a selemaa

Tanzania kwanza, vikojozi baadaye

We mwanamke utakuwa na gubu sana, nadhan aliekuoa anajuta. Kaa umuhudumie mmeo acha kufatilia ya wanaume wengine. Ww unatoa kodi unapompa mmeo papuchi night? Au papuchi yako umefunga efd ili mmeo apewe risiti kabla hujaliwa?
 
vibaa,vigrosary,wauza mtumba,vijiukumbi ni vibiashara vidogo!/ TUSHUHULIKE KWANZA NA HAYA MAZITO!
 
Huyo Makengeza afilisiwe mali zote za urithi...mshenzi mkubwa huyo...yani wananchi tunaangaika hatupati huduma kumbe halipi kodi ya biashara zake!?!😠

...unalawit.wa, mshenzi mkubwa ni mama ako.
 
Mama yako na wowo kubwa lazima huyo unaemtukana kapita kwa mama yako na makengeza.heshim watu wewe dada .

swissme

Jitu lisilolipa kodi, Jitu linalobaka demokrasia, jitu linalominya upinzani, jitu lenye uroho, jitu lisilopingwa, jitu linaloendekeza ukabila, jitu lenye uchu wa madaraka. JITU JITU
 
UZI WA KIPUUZI KABISA HUU!/
->>wachovu ndo huenda kupumzika huko na akina yakhe! / Waleee Wenyewe huenda PARIS,DUBAI,QATAR,USWISS,VISIWA FULANI VYA UINGEREZA!
 
Mkuu, wewe ukienda kunywa bar au kula kwa mama lishe unadai risiti ya TRA?

Unapaswa kupewa risiti yako. Tusifanye mambo kimazoea, kisheria napaswa kupewa risiti. Tuweke tabia ya kudai risiti pale tu tunapofanya malipo yeyote, nchi za wenzetu, pipi tu unapewa risiti. Hii inasaidia taifa kukusanya kodi.

Risiti,risiti,risiti.
 
Mkuu, wewe ukienda kunywa bar au kula kwa mama lishe unadai risiti ya TRA?

Hatutaki usumbufu kwa wanyonge, tunataka mafisadi wakubwa wakubwa ili nchi yetu iwe ya nehema. Huyu tapeli Mbowe hana pa kwenda na ataisoma mpaka yale macho yake yakae sawa, kwani San Ciro hakuona yaliyowakuta?
 
Kamata na hao, pokonya passport, weka ndani.
 
Jitu lisilolipa kodi, Jitu linalobaka demokrasia, jitu linalominya upinzani, jitu lenye uroho, jitu lisilopingwa, jitu linaloendekeza ukabila, jitu lenye uchu wa madaraka. JITU JITU
Chenge Tibaijuka mwingulu Riz one malizia.

swissme
 
hahahaha!! mimi yangu macho ...................
 
We mwanamke utakuwa na gubu sana, nadhan aliekuoa anajuta. Kaa umuhudumie mmeo acha kufatilia ya wanaume wengine. Ww unatoa kodi unapompa mmeo papuchi night? Au papuchi yako umefunga efd ili mmeo apewe risiti kabla hujaliwa?

Tutamsaidia Raisi wetu kukusanya kodi sehemu zote zinazopaswa kutoa kodi. Matusi ni yenu vikojozi.
Watch this space!! Kumbi zote za starehe zitaanza kutoa risiti.
RISITI;RISITI.
HAIWEZEKANI MTU UNAINGIZA MILIONI 20 KWA SIKU ZA KIINGILIO TU, NA HAUJALIPIA KODI, HALAFU WANYONGE WANAINGIZA MILIONI 3 KWA MWAKA NA WANALIPISHWA KODI.
 
Back
Top Bottom