Ngonjera iko wapi? Nimekueleza kwamba hawatoi risiti. Na risiti ni haki yetu walipaji wa tozo yeyote ile.
Nimeomba pia kumbi zote zichunguzwe, sio Billcanas tu.
Sasa unataka niwaambie nini TRA
Tanzania KWANZA, vikojozi baadaye
Unaweza kushangaa kesho Majaliwa na team yake wanatia team hapo.
Ijumaa tarehe 26.11.2015 rafiki yangu alifika Billcanas Club kwa ajiri ya kujifurahisha ambapo Club hiyo ilikuwa inazinduliwa upya baada ya kufunga mitambo mipya.
Alipofika mlangoni, alilipa kiingilio cha shs 10,000. Akaomba risiti ya malipo lakini hakupatiwa. Akasisitiza na kuambiwa hapa hakuna risiti. Risiti ni haki ya mlipaji. Risiti uonesha serikali inapata kodi kiasi gani kutokana na tozo. Naomba ukumbi huu na kumbi zote zianze kutoa risiti mara moja la sivyo TRA iwafungie.
Ukumbi unaobeba watu 2000. wakilipa 10,000. ni sawa na 20,000,000. Ni pesa nyingi zinapotea, hapo bado vinywaji ninauzwa bei ya juu sana ndani bila risiti yeyote. TRA chunguzeni hizi sekta za burudani, taifa linapoteza mapato humo.
Mtoa mada amepost sababu ni ya Mh. Freeman Mbowe. Hata Ulaya sijaona mtu anakunywa beer bar anapewa risiti. Wanywaji watarudi nyumbani na rambo la risiti.
mkuu usipotoshe watu kwa habari za kupika na za kishambenga kama hizi...
unapoingia Bills kwanza unakutana na walinzi ambao wanakupekua kwa mashine maalum na kisha kama huna silaha basi wanakuelekeza sehemu ya malipo ambapo pale utakwenda kupatiwa huduma ya malipo ya kiingilio na kupatiwa tiketi ambayo utakwenda nayo moja kwa moja kwa Mkaguzi wa tileti hiyo ambapo atakukagua na kisha kama ipo sawa ataichana na kukuruhusu uingie ukumbini hapo.
hii ndio Bilicanas, na huo ndio mfumo wake tangu na tangu na siku hio ambayo unajaribu kupandikiza ubaya wako mimi nilikuwamo humo ndano na process zote nlizokutajia hapo juu nilizipia...
njoeni na Lingine
Ijumaa tarehe 26.11.2015 rafiki yangu alifika Billcanas Club kwa ajiri ya kujifurahisha ambapo Club hiyo ilikuwa inazinduliwa upya baada ya kufunga mitambo mipya.
Alipofika mlangoni, alilipa kiingilio cha shs 10,000. Akaomba risiti ya malipo lakini hakupatiwa. Akasisitiza na kuambiwa hapa hakuna risiti. Risiti ni haki ya mlipaji. Risiti uonesha serikali inapata kodi kiasi gani kutokana na tozo. Naomba ukumbi huu na kumbi zote zianze kutoa risiti mara moja la sivyo TRA iwafungie.
Ukumbi unaobeba watu 2000. wakilipa 10,000. ni sawa na 20,000,000. Ni pesa nyingi zinapotea, hapo bado vinywaji ninauzwa bei ya juu sana ndani bila risiti yeyote. TRA chunguzeni hizi sekta za burudani, taifa linapoteza mapato humo.
= ajili
je unakubaliana nami kuwa Mfumo wa CCM ni mbovu?????
Ulikuwa unanyannyasa wafanyakazi pamoja na wafanyabiashara wadogo katika ukusanyaji kodi ya serikali???
Je, imekuwaje baada ya kuingia Magufuli ndipo maovu yanaonekana, kwani hatukuwa na uongozi kabla ya Magufuli????
Yaani kusema ukweli wana CCM hamkupaswa kabisa kuuongea katika wakati huu, kwani mfumo wa CCM umeongoza kwa miaka 55, ni aibu kubwa sana leo wana CCM kuongea ndani ya mwezi mmopja huu toka kuapiswa Magufuli kuonekana ndio uongozi wenye kufichua maovu ya Serikali ya CCM.
ndio maana tunataka mabadiliko, kwani Mfumo wa CCM umeshindwa kuleta maendeleo kwa wananchi wake. Kila mwaka sera ni zilezile, na ndio maana Magufuli ameona heri atumie ILANI YA UPINZANI badala ya ile ya CCM (Kani ni uozo mtupu, haina jipya)
Hiv nyie CCM nani kawaloga??? Anzeni kwanza na viongozi wenu ndo mje kwa mbowe, kila siku kwa mwali kwa kungwi lini??? Mbona hatusikii mlivyo na roho mbaya nyie
Umesema tusubiri tuone Kama wanalipa au l? wakati umeshasema ni mkwepa kodi?? Wacha utairatunachotaka, watoe risiti, sio hao billcanas tu. Kumbi zote zinazotoza viingilio, lazima zitoe risiti, sio ombi. Lazima.
Tusubiri kidogo, tutajua kama wanalipa kodi au la.
Nilichosema hapa, ijumaa hawakutoa risiti, hata pale walipoombwa kufanya hivyo.
Risiti ni haki yetu.sio ombi
Siku hizi umepoa bidada!una jipu nini?
bado sijaelewa kwanini wachane ticket? kwanini wasigonge mhuri tu na kumwacha mtu abaki na risit yake? kwanini hiyo risiti isiwe ya efd tatizo liko palepale.
Billicanas kwanza maeneo mengine baadaye,ww kama mbowe ni anko wako ndo sasa umwambie tunahitaji risiti
Nina wasiwasi na Mtoa Mada kama Yeye ama huyo ndg yake aliwahi kuingia bills, bills haina mahala pa kuweka hata watu 1000,
Pale bills risiti zilianza kutolewa hata kabla ya machine za EFD, sasa kama kodi inafika TRA ni swala lingine, sehemu ya strarehe niliyoona wanatoa risit za EFD dsm ni samakisamaki mlimani city
Mimi mwenyewe niliingia hapo jana yani sikuelewa kabisa ule utaratibu. Mtu unalipa kiingilio alafu upewi ticket wanakupa kikaratasi kama cha kwenye daladala then wanakulazimisha kukupiga muhuri kama tupo disco vumbi. Pale kuna uhuni mkubwa sana wa kukwwpa kodi.
Ata hivyo ile club naona kama imeishiwa pumzi maana ukikaa mule zaid ya lisaa we mwanaume kweli sound mbovu inakatakata full mabumashi.
Ilo la kodi TRA mkatumbue jipu la bills au ifungwe kwanza ile ni open space ikibidi lipelekwe bulldozer.