Ijumaa tarehe 26.11.2015 rafiki yangu alifika Billcanas Club kwa ajiri ya kujifurahisha ambapo Club hiyo ilikuwa inazinduliwa upya baada ya kufunga mitambo mipya.
Alipofika mlangoni, alilipa kiingilio cha shs 10,000. Akaomba risiti ya malipo lakini hakupatiwa. Akasisitiza na kuambiwa hapa hakuna risiti. Risiti ni haki ya mlipaji. Risiti uonesha serikali inapata kodi kiasi gani kutokana na tozo. Naomba ukumbi huu na kumbi zote zianze kutoa risiti mara moja la sivyo TRA iwafungie.
Ukumbi unaobeba watu 2000. wakilipa 10,000. ni sawa na 20,000,000. Ni pesa nyingi zinapotea, hapo bado vinywaji ninauzwa bei ya juu sana ndani bila risiti yeyote. TRA chunguzeni hizi sekta za burudani, taifa linapoteza mapato humo.
chuki hazina nafasi kwa magufuli,na upeo wako ni mdogo sana na hata bills hupajui.na hata uelewa wa maswala ya kodi wewe ni ziro kabisa
we unaongelea kodi za kumbi za starehe tu. Hujaona kodi za nyumba. Wapangaji wanalipa hela nyingi sana kwaajili ya nyumba walizopanga. Nu shilinhi ngapi tz inapoteza. Huyohuyo anaelipwa anailalamikia serikali kuwa ni wezi,mara wanasamehe kodi kitendo kinaipotezea nchi mabilions ya mapene. Yeye hajioni. Piga mahesabu ya chekechea tu. Wilayaoja ya kinondoni ingekusanya kodi ya pango kwa mwezi wangeiingizia serikali shilingi ngapi??? Nayo waangaliwe kwa jicho lakimakufuli. Watendaji wetu ni mazuzu,wanahangaila na wamama wenye mtaji wa karaka kilo mbili tsh 4400 na karatasi 1000 mkaa 1500 kopo tena haliishi-- 6900. Wanamdai kodi wakati mwingine anaingiza mafedha kibao halipishwi. Huu ni zaidi ya uchizi. Magufuli waangazie. Jipu lao limekomaa ni lakuchana c lakutumbua
ww ndiye mkwepa kodi namba moja ukijinufaisha na serikali iliyo pita. Mwenzako waliwahi kumzushia bungeni wakashindwa sembuse humu jf.
kwa shuluba walizopata ccm kutoka upinzani, wasingemwacha mbowe akwepe kodi kirahisi hivyo.
Mfanyabiashara yeyote tz akiwa upinzani huweza kuzuliwa zengwe hadi kufilisiwa biashara zake, sembuse kukwepa kodi?
Wafanyabiashara wengi wana kadi za fisiem ili kulinda biashara zao.
Ijumaa tarehe 26.11.2015 rafiki yangu alifika Billcanas Club kwa ajiri ya kujifurahisha ambapo Club hiyo ilikuwa inazinduliwa upya baada ya kufunga mitambo mipya.
Alipofika mlangoni, alilipa kiingilio cha shs 10,000. Akaomba risiti ya malipo lakini hakupatiwa. Akasisitiza na kuambiwa hapa hakuna risiti. Risiti ni haki ya mlipaji. Risiti uonesha serikali inapata kodi kiasi gani kutokana na tozo. Naomba ukumbi huu na kumbi zote zianze kutoa risiti mara moja la sivyo TRA iwafungie.
Ukumbi unaobeba watu 2000. wakilipa 10,000. ni sawa na 20,000,000. Ni pesa nyingi zinapotea, hapo bado vinywaji ninauzwa bei ya juu sana ndani bila risiti yeyote. TRA chunguzeni hizi sekta za burudani, taifa linapoteza mapato humo.
mbona umenyonya mziki kwenye flash lakini hukugagania kupewa risti hujui kuwa umekwepa kodi au maandaz uliyokula leo umelipia kodi ?
nitajie club zinazolipa kodi hapa nchini na kutoa risiti we mwana hizaya..!
hakuna club inayotoa risiti mlangoni bongo, tunaojua ni sisi tunaoenda club sio nyie wapuuzi
hivi bills ina uwezo wa kuingiza watu 2000 kwa mpigo?
Ijumaa tarehe 26.11.2015 rafiki yangu alifika Billcanas Club kwa ajiri ya kujifurahisha ambapo Club hiyo ilikuwa inazinduliwa upya baada ya kufunga mitambo mipya.
Alipofika mlangoni, alilipa kiingilio cha shs 10,000. Akaomba risiti ya malipo lakini hakupatiwa. Akasisitiza na kuambiwa hapa hakuna risiti. Risiti ni haki ya mlipaji. Risiti uonesha serikali inapata kodi kiasi gani kutokana na tozo. Naomba ukumbi huu na kumbi zote zianze kutoa risiti mara moja la sivyo TRA iwafungie.
Ukumbi unaobeba watu 2000. wakilipa 10,000. ni sawa na 20,000,000. Ni pesa nyingi zinapotea, hapo bado vinywaji ninauzwa bei ya juu sana ndani bila risiti yeyote. TRA chunguzeni hizi sekta za burudani, taifa linapoteza mapato humo.
Acha uongo Bavicha! Club maisha mtwara wanatoa tena risiti za EFD...Hakuna club inayotoa risiti mlangoni bongo, tunaojua ni sisi tunaoenda club sio nyie wapuuzi