Billcanas wanakwepa kodi, TRA tafadhali chukua hatua

Billcanas wanakwepa kodi, TRA tafadhali chukua hatua

Hatutaki usumbufu kwa wanyonge, tunataka mafisadi wakubwa wakubwa ili nchi yetu iwe ya nehema. Huyu tapeli Mbowe hana pa kwenda na ataisoma mpaka yale macho yake yakae sawa, kwani San Ciro hakuona yaliyowakuta?
Unavyoingia bills upigwa muhuli kumbuka stap ni sehemu ya kodi boya sana wewe.

swissme
 
Klabu zote baa zote grocery zote nchini hawatoi risiti we umeiona bilikanywazz tuu binti ni nini unatafuta promo au mfafhili
 
Unavyoingia bills upigwa muhuli kumbuka stap ni sehemu ya kodi boya sana wewe.

swissme

hapana, stamp sio KODI. Muhuri ni kwa ajili yao ya kudhibiti wanaoingia na kutoka. KODI halali uoneshwa kwenye risiti tu
 
HAMY-D

Mbona umejaa upepo?Ngoja nikupe darsa kidogo,tuliza mihemko!Mtu yeyote anayepambana na serikali kwa kuikosoa ipasavyo lazima kitu cha kwanza ajihakikishe kuwa yuko clean!Hebu angalia watu wanaoendelea kuumbuliwa,wote ni wale waliokuwa maswahiba na rafiki wa awamu ya 4!Mfano mwingine ni Mengi,hebu fikiri kama angekuwa anafanya biashara kimagumashi lazima angeshamulikwa zamani!
Mfano halisia ni wewe hapo pia,ona uliposikia Mbowe anakwepa kodi ulivyokuja kwa mihemko umejaa povu mdomoni ukisema afilisiwe,wakati huo huo hatujakuona ukienda kwa style hii kwenye nyuzi humu jf zinazozungumzia ukwepaji wa kodi unaofanywa na waswahiba wa mr msoga!Huu ni ushahidi tosha kuwa ukiwa upande fulani lazima uwe so clean that no one can ever touch u!Wapiga deal wote wako karibu na ccm na serikali yake,not the other way around!Tuliona Gwajima alivyotikisa kiberiti kidogo tu alivyofuatiliwa!
Huu uzi nafanisha na mtu anayetaka pa kupumulia baana ya kuona kabanwa,kubalance hali ya hewa JF!
Acheni ujinga vilaza wa lumumba,buku 7 zimekata fanyeni kazi
 
Last edited by a moderator:
We unajua club inayo weza beba watu 2,000 au chuki zako binafsi tu..

cHUKI YANGU NI KWA YEYOTE ANAYEKWEPA KODI, YEYOTE. UKUMBU HUO UCHUKUA WATU 2000 NA ZAIDI. SODA NDANI SHS 2000, BIA SHS 4000. KIINGILIO SHS 10,000.

SASA HAPO TUNAOMBA RISITI TU, ILI TRA IFAIDIKE NA HIZO BEI
 
hapana, stamp sio KODI. Muhuri ni kwa ajili yao ya kudhibiti wanaoingia na kutoka. KODI halali uoneshwa kwenye risiti tu

Sio kila risiti huonesha au ina maana ya kodi,mfano kwenye daladala unapewa risiti,je,hiyo ina maana ya kuonesha kodi?????????????Night clubs zina utaratibu wake na hulipiwa kwa utaratibu wake,sio kukusanya risiti vilaza wa lumumba!
 
...unalawit.wa, mshenzi mkubwa ni mama ako.
Makamanda kumekucha tena.

Si mlikuwa mnataka mabadiliko kulikoni tena.

Dr.Magufuli atanyoosha watu wengi sana.
 
Makamanda kumekucha tena.

Si mlikuwa mnataka mabadiliko kulikoni tena.

Dr.Magufuli atanyoosha watu wengi sana.

kwa bakhresa kodi ni chuki ila kwa mbowe kodi ni kuwanyoosha
teh teh teh

Unafki mbaya sana
 
Naomba kodi zinazolipwa na viwanja vyote vya mpira wa miguu zichunguzwe na kwenye burudani TOT wachuguzwe kodi wanazolipa maana hata akina Diamond walishatiwa msuko suko basi ituhusu wote.
 
Kama ushahidi upo hatua zichukuliwe, kama hakuna ushahidi ushabiki hautasaidia
 
Mleta mada huna lolote ushakunaku umekujaa tyu! Huwezi kuwa na club katikati ya mji posta kama bilizz ukwepe kodi. Kajipange.
 
Mbona umejaa upepo?Ngoja nikupe darsa kidogo,tuliza mihemko!Mtu yeyote anayepambana na serikali kwa kuikosoa ipasavyo lazima kitu cha kwanza ajihakikishe kuwa yuko clean!Hebu angalia watu wanaoendelea kuumbuliwa,wote ni wale waliokuwa maswahiba na rafiki wa awamu ya 4!Mfano mwingine ni Mengi,hebu fikiri kama angekuwa anafanya biashara kimagumashi lazima angeshamulikwa zamani!
Mfano halisia ni wewe hapo pia,ona uliposikia Mbowe anakwepa kodi ulivyokuja kwa mihemko umejaa povu mdomoni ukisema afilisiwe,wakati huo huo hatujakuona ukienda kwa style hii kwenye nyuzi humu jf zinazozungumzia ukwepaji wa kodi unaofanywa na waswahiba wa mr msoga!Huu ni ushahidi tosha kuwa ukiwa upande fulani lazima uwe so clean that no one can ever touch u!Wapiga deal wote wako karibu na ccm na serikali yake,not the other way around!Tuliona Gwajima alivyotikisa kiberiti kidogo tu alivyofuatiliwa!
Huu uzi nafanisha na mtu anayetaka pa kupumulia baana ya kuona kabanwa,kubalance hali ya hewa JF!
Acheni ujinga vilaza wa lumumba,buku 7 zimekata fanyeni kazi

Huyo Dada ni yule yuko pale kwenye bench la lumubmba kazi za wale vibaka ni huyu mmoja wapo kama shonza haeajui kitu kazi kufuata wakina madelu.

swissme
 
cHUKI YANGU NI KWA YEYOTE ANAYEKWEPA KODI, YEYOTE. UKUMBU HUO UCHUKUA WATU 2000 NA ZAIDI. SODA NDANI SHS 2000, BIA SHS 4000. KIINGILIO SHS 10,000.

SASA HAPO TUNAOMBA RISITI TU, ILI TRA IFAIDIKE NA HIZO BEI

Kama nimekuelewa vizuri una maana TRA kwa wakati wote chini ya serikali inayoongozwa na CCM hawakuwa wanakusanya kodi labda kwa maelekezo toka Lumumba.

Mimi niongezee kidogo tu haya mabango na matangazo yote ya kampeni yachunguzwe kama yalilipiwa kodi kama hujakuta CCM inafilisika na kuwaachia wafadhili wake waendelee na mchezo wa kukwepa kodi.
 
sio kila risiti huonesha au ina maana ya kodi,mfano kwenye daladala unapewa risiti,je,hiyo ina maana ya kuonesha kodi?????????????night clubs zina utaratibu wake na hulipiwa kwa utaratibu wake,sio kukusanya risiti vilaza wa lumumba!

eleza hapa jf huo utaratibu mwingine. Risiti uonesha kiwango kilichokatwa kwa ajili ya vat ya serikali. Kwenye hotuba yake rais wetu alisisitiza umuhimu wa kudai na kupewa risiti. Kwenye mabasi ya mikoani kwa mfano, unapaswa kupewa tiketi yako ya kusafiri na risiti ya malipo. Hivyo ndivyo inavyopaswa kuwa kisheria.

Msiwatete hawa wanaovuna pesa bila serikali kunufaika.

Risiti ni haki yako.

Chochote nachonunua, lazima unipe risiti yangu, sio ombi.

Risiti.risiti.risiti
 
Back
Top Bottom