gango2
JF-Expert Member
- Aug 31, 2011
- 1,942
- 2,251
Happy Valentine nyote!
Nimeona siku isiishe kabla sijaweka hii hapa jukwaani (Sijui kama kuna mtu ameshaweka hili), but nimetamani kupata view za great thinkers maana
Actually, valentine ya leo imekuja na suprise kwa watu wengi, baada ya mwanadada mmoja pia mwana kaka mmoja kuprint bango kubwa lenye picha ya ampendaye na kuliweka barabarani. Naona kila Mtu amefurahia hii na kwa mtazamo wengi wamepongeza na kusema haya ni mapenzi ya kweli. Wengine wameenda mbali sana na kusema wao pia wanatamani wangefanyiwa hivyo.
Binafsi somehow niko negativity on it. Nilitamani pia nipate maoni ya wengi au view za great thinkers hapa.