Nzuguni one
JF-Expert Member
- Dec 23, 2019
- 1,153
- 474
Duuuh
Kwani wao wanasemaje?Hakuna aliyesalama kwenye mapenzi!
Billionaires Bill Gates and wife Melinda to get divorced after 27 years I
Mabaharia hawana maana. Wanakupigia saluti, baada ya muda wanakuja kukukazia mjane wako. Nyambafff sana mabahariaYaani in the line of duty kabisa mabaharia wanakupa saluti uliwawakilisha vyema
Unazingua. Si nimekuambia wamesemaje? 😁😁😁🤭🤭Kwani wao wanasemaje?
Mahabaria shubamit zaoMabaharia hawana maana. Wanakupigia saluti, baada ya muda wanakuja kukukazia mjane wako. Nyambafff sana mabaharia
Mwambie melinda nipo singleHakuna aliyesalama kwenye mapenzi!
Billionaires Bill Gates and wife Melinda to get divorced after 27 years I
Weka chanzo cha habari kwanza tujionee
Bila picha, audio au video?Unazingua. Si nimekuambia wamesemaje? 😁😁😁🤭🤭
Bora ujitafunie hovyo uukwae ududu, ili mabaharia wakija kukukazia nao waukwae, wafariki.Mahabaria shubamit zao
We huwezi kumwambia?Mwambie melinda nipo single
Bado.Dunia itakuwa salama kutokana na njama zao za kupunguza idadi ya watu hasa waafrika kupitia chanjo wanazozifadhili.
Nani alisema mapenzi si hela?Nani alisema Mapenzi ni hela?
Wanajali basi?Bora ujitafunie hovyo uukwae ududu, ili mabaharia wakija kukukazia nao waukwae, wafariki.
Mimi sina mawasiliano na hivyo natumia simu ndogo haina access hata ya IGWe huwezi kumwambia?