Imebainishwa kuwa kabla Bill Gate hajamuoa Melinda alikuwa na uhusiano na mwanamke mwingine aliyeitwa
Ann Winblad. Kabla ya kugunga ndoa Bill Gate aliomba kibali
Ann Winblad na akamkubalia. Ndani ya ndoa Melinda naye alitoa ruhusa kwa Bill Gate na
Ann Winblad kukutana walau mara moja kwa mwaka. Hii imekuwa ikitokea ndani ya mika 27 ya ndoa yao
There are many aspects of Bill Gates and Melinda Gatesβ marriage that we will likely never understand as they separate after 27 years together, a development announced earlier this week by the ex-coup...