Bill gates ala wali maharage

Naskia kafungua a/c ya instagram leo kwa mara ya kwanza akiwa Tanga..... Ina follow bilion moja sasa hivi
 
Kuna jamaa alikula ubwabwa kambale na maji ya kandoro akawa anaharisha tu majukwaani

RubiiKimimi
 
Huyu bwana huko kwao akiwa na binti yake baada ya kula mhudumu akamlalamikia kwa nini yeye ana mali amemtipu dola 5 wakati binti yake amemtipu dola 500. Bill gates akamjibu yule mhudumu sababu ni kwamba binti yake kazaliwa kwenye mali angali yeye alizaliwa kwenye umasikini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya sasa yeye kala wali maharage wewe uku huna ata hela kula chips na mayai mara kuku wakati mfukoni huna kitu
NB:billgates akila wali maharage na wanafunzi wa kicheba primary school uko muheza
d53cf18d8441c01e86c4661618501fc4.jpg
2c3a10f414811c6f800d6c4f93ce65f4.jpg


Mungu Ni Mwema
Alikunywaga maji yatokanayo na mavi atashindwaje huo wali safi?
 
Mbona mi sijamuona akila hapo ?

Sent from my iPhone6 using JamiiForums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom