Bill gates ala wali maharage

Akila Bill mnamsifia.....
Akila saa mbovu mnabeza......
Sijui which is which....
 
Haya sasa yeye kala wali maharage wewe uku huna ata hela kula chips na mayai mara kuku wakati mfukoni huna kitu
NB:billgates akila wali maharage na wanafunzi wa kicheba primary school uko muheza
d53cf18d8441c01e86c4661618501fc4.jpg
2c3a10f414811c6f800d6c4f93ce65f4.jpg


Mungu Ni Mwema
Hajala wali maharage sema kapiga picha akiwa na sahani yenye wali maharage!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi kilichonifurahisha hapo ni sahani ya
plastiki. Wali na maharage,vitumbua
na vyakula vingine vya kiafrika
wazungu wanavimiss sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom