Bila Yanga kucheza final CAFCCL, Simba asingefika huko

Bila Yanga kucheza final CAFCCL, Simba asingefika huko

Ahsante Yanga kwa kuonyesha mwanga wa Taifaaa ...

Pamoja na kuwa mchambuzi maarufu hapa jamii forum pia mwanachama wa Simba ....ila nakubali kuwa Yanga walituchongea njia ya kwenda final......hivyo tumejifunza mengi Kwa Yanga mfano

1. Kukaza ugenini....Simba always ilikuwa mbovu ugenini....lakini Baada ya Yanga ku prove inawezekana kukaza ugenini.... it's became a foundation to Simba to gain confidence

All in all..... Asanteni Yanga Kwa kuchonga njia...japo tunajua kombe hatubebi mbele ya waarabu...tutaishia mlipoishiaView attachment 3318438

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Huku kote ni kuchanganyikiwa tu. Kazi ipo kwakweli .Hadi hii michuano ije iishe mtakuwa mmeshaokota makopo.
UBAYA UBWELA ni hatari kwa afya za utopolo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom