mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 45,751
- 55,787
lazma mteseke🤣🤣🤣
Hakika makolo mna vichwa ngumuHiki Kiingereza kimekushunda kuelewa,TotalEnergies CAFCC ndio first ever but Simba kacheza fainali ya kombe la CAF kabla na si CAFCC
Ya mwaka huu haikua na challenge sanaUnaongelea mwaka jana watu wameshasahau,robo inayozungumzwa ni ya mwaka huu,acha ile fluke
Kiingereza hujui Utopolo,nimekupa link kutoka website rasmi ya CAF umekosa mkalimani
Haikuwa na challenge sana halafu mmeshindwa kuingia robo fainali,ujue nyie bila marefa wa bongo na matawi yenu ni weupe sana.Nyie endeleeni kutamba kwenye ligi ambayo makipa wanafukuzwa kwa kupokea rushwa na kuwapangia vikosi matawi yenu vya kucheza na nyie
Sasa ninaishi UK mwaka wa 10 ntashindwaje ngeli ....hizo scum pagesKiingereza hujui Utopolo,nimekupa link kutoka website rasmi ya CAF umekosa mkalimani
Refer Ile robo tupo na mamelodHaikuwa na challenge sana halafu mmeshindwa kuingia robo fainali,ujue nyie bila marefa wa bongo na matawi yenu ni weupe sana.Nyie endeleeni kutamba kwenye ligi ambayo makipa wanafukuzwa kwa kupokea rushwa na kuwapangia vikosi matawi yenu vya kucheza na nyie
Ile mlikuwa na timu nzuri,sasa hivi tiamaji ndio maana imeshindwa kupata goli moja home kuwavusha kutoka kwenye kundi dhaifu ambalo limeshindwa kuingiza timu nusu fainali
simba kucheza fainali
na nyie ni tawi letu maana kiminyo mnakula vile vileHaikuwa na challenge sana halafu mmeshindwa kuingia robo fainali,ujue nyie bila marefa wa bongo na matawi yenu ni weupe sana.Nyie endeleeni kutamba kwenye ligi ambayo makipa wanafukuzwa kwa kupokea rushwa na kuwapangia vikosi matawi yenu vya kucheza na nyie
Hapana mkuu Yanga mwaka huu hawakufocus sanaIle mlikuwa na timu nzuri,sasa hivi tiamaji ndio maana imeshindwa kupata goli moja home kuwavusha kutoka kwenye kundi dhaifu ambalo limeshindwa kuingiza timu nusu fainali
Bila simba Yanga asingefika popote Mataifa Africa,Ime share experience Kwa Simba ...Kwamba haya mambo yanawezekana
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Ni kweli mkuuna nyie ni tawi letu maana kiminyo mnakula vile vile


Sababu nyepesi hyo mkuuBila simba Yanga asingefika popote Mataifa Africa,
Baada ya simba kuingia Robo mfululizo Tanzania na sisi tukawa Pot 1, kabla ya Hapo ilikua Ili Timu ya Tanzania ifuzu makundi ni hadi wacheze na timu za North Africa tukawa tunatolewa mapema tu, juhudi za Simba zikafanya na sisi tuwe rank ya juu na kupangwa na Vibonde hivyo kurahisisha safari ya makundi.
Unamaanisha Nini mkuuUgoro wa siku hizi sijui wamasai wameufanyaje umekua mkali sana kiasi kwamba ukitumia kidogo unaanza kutapika ugoro![]()

