Bila ya CCM, Tanzania ingepoteana

Bila ya CCM, Tanzania ingepoteana

Kweli kabisa maana Tanzania isingekuwa na makazi yasiyopangiliwa.
Tanzania ingekuwa na elimu bora
Tanzania ingekuwa nchi huru
 
Salaam Wana JF

Nilikuwa nasafiri kuelekea mkoa fulani hivi, kwakweli kama nchi tumejitahidi kufanya Maendeleo, kila baada ya umbali kadhaa unaona miradi ya Barabara inaendelea. Kuelekea nchi ya ahadi japo kuna watu wanaponda juhudi za serikali lazima tujue kuwa hata Roma haikujengwa kwa siku moja, development is a process.

Ukija kwenye suala la amani serikali chini ya mwamvuli wa CCM imejitahidi kujenga misingi ya undugu kwakuwa hakuna ukabila wala aina zozote za kubaguana. Kwa hili CCM wanahitaji pongezi kubwa japokuwa kuna changamoto kubwa kutoka kwa watu mbali mbali.

Tukubali tu kuwa vyama vya upinzani bado sana kupata ukomavu wa kuongoza nchi hii sababu wana siasa za vurugu, hakuna democracy with themselves + siasa za kugawa nchi. Yote kwa yote CCM tuwape maua yao.

NB: Kama kusingekuwa na CCM basi nchi ingekuwa kama Somali, Sudan, CAR etc. Je, kama Mtanzania unaonaje hili?

Nakala waione;

Mshana Jr
Erythrocyte
Ujue kuna misukule ya CCM nchi nzima iwe wanajitambua au la wapo!
 
Kwanza fahamu CCM sio Algorithm ya kuendesha Nchi, bali ni kikundi cha watu wenye kutaka uongozi. Tanzania ina idadi ya watu wengi sana ambao wanaweza kuongoza nchi vizuri kuliko hata hao CCM endapo wakipewa nafasi

Nchi kama Zambia na nyinginezo za kusini mwa Afrika zimeendelea vizuri tu bila vyama vyao vilivyosaidia kupata uhuru...wewe kwa akili zako zote inahisi Tanzania ya watu milioni 60, viongozi wazuri wapo CCM tu? Semq tu ni kwamba manaiba kura na kufinya demokrasia, bila hivyo CCM ingekuwa ishatoka madarakani kitambo
Usisahau kumkumbusha kuwa bila CCM huenda angelikuwa na akili kuliko anazomiliki sasa.
 
Sasa kama vijana hawataki kuuunga mkono juhudi....itawezekana vp
FB_IMG_1697704408869.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom