Alfan issa
JF-Expert Member
- Dec 26, 2015
- 2,291
- 900
Uko sawa mkuu wala hujakosea, upinzani bado Sana kuchukua nchi
Sawa pesa ni Kodi ya wa TZ ....but inahakikisha Zinakuwa well managed & distributed equitably..,..Mmmh mm sijakuelewa kabisa unachotaka kuongea......
Ukizungumzia miundombinu hio ni hela ya Kodi ya watz.....Unapokuja kusema kuwa bila wao nchi haiwezi jiongoza unajikosea Sana KILA kitu kinawezekana ukitimiza wajibu wako.....
Nchi bado haisogei bablai....mfano mradi wa SGR na bwawa la Nyerere ukiangalia zengwe linalochezwa hapo huelewi elewi .....
Ukileta mada huku JF siku nyingine hakikisha umefanya utafiti Yakinifu zaidi ya mara Moja....
Best Choice tz kwa kinyakyusa maana yake ni njaa.......vp umekula kijanaNaomba nikulize kama kweli wew ni mzalendo .... ivi umesha wahi japo kusikiliza report za CAG? ....... japo kwa awamu moja tu kwenye hizi serikali z CCM tusiende mbali tuanzie kwa JK, JPM, SSH , alafu uje hapa uniambie nikisema serikali inafuga wezi uta kataaa?
Ni mpinzani gani ametokea nje ya ccm?Salaam Wana JF
Nilikuwa nasafiri kuelekea mkoa fulani hivi, kwakweli kama nchi tumejitahidi kufanya Maendeleo, kila baada ya umbali kadhaa unaona miradi ya Barabara inaendelea. Kuelekea nchi ya ahadi japo kuna watu wanaponda juhudi za serikali lazima tujue kuwa hata Roma haikujengwa kwa siku moja, development is a process.
Ukija kwenye suala la amani serikali chini ya mwamvuli wa CCM imejitahidi kujenga misingi ya undugu kwakuwa hakuna ukabila wala aina zozote za kubaguana. Kwa hili CCM wanahitaji pongezi kubwa japokuwa kuna changamoto kubwa kutoka kwa watu mbali mbali.
Tukubali tu kuwa vyama vya upinzani bado sana kupata ukomavu wa kuongoza nchi hii sababu wana siasa za vurugu, hakuna democracy with themselves + siasa za kugawa nchi. Yote kwa yote CCM tuwape maua yao.
NB: Kama kusingekuwa na CCM basi nchi ingekuwa kama Somali, Sudan, CAR etc. Je, kama Mtanzania unaonaje hili?
Nakala waione;
Mshana Jr
Erythrocyte
Sasa watajuaje kama wewe ni chawa wao?Hakuna haja
Huko kenya wakati wa KANU kulikuwa na wajinga wa aina yako. Leo hii KANU ni marehumu huko Kenya na Bado Kenya ina uchumi mzuri kuliko Tanzania. Ww inaonkena ni mzee, nyie ndio bado mnaamini kwenye ccm na propaganda zake.Salaam Wana JF
Nilikuwa nasafiri kuelekea mkoa fulani hivi, kwakweli kama nchi tumejitahidi kufanya Maendeleo, kila baada ya umbali kadhaa unaona miradi ya Barabara inaendelea. Kuelekea nchi ya ahadi japo kuna watu wanaponda juhudi za serikali lazima tujue kuwa hata Roma haikujengwa kwa siku moja, development is a process.
Ukija kwenye suala la amani serikali chini ya mwamvuli wa CCM imejitahidi kujenga misingi ya undugu kwakuwa hakuna ukabila wala aina zozote za kubaguana. Kwa hili CCM wanahitaji pongezi kubwa japokuwa kuna changamoto kubwa kutoka kwa watu mbali mbali.
Tukubali tu kuwa vyama vya upinzani bado sana kupata ukomavu wa kuongoza nchi hii sababu wana siasa za vurugu, hakuna democracy with themselves + siasa za kugawa nchi. Yote kwa yote CCM tuwape maua yao.
NB: Kama kusingekuwa na CCM basi nchi ingekuwa kama Somali, Sudan, CAR etc. Je, kama Mtanzania unaonaje hili?
Nakala waione;
Mshana Jr
Erythrocyte
Basi tusijilinganishe na wenye kipato kikubwaNdo tunajitafuta mkuu ....hata Roma haikujengwa Kwa siku moja
Mtaa upi,maana CCM ni chama Cha wazee, ndio maana kinategemea wizi wa kura kukaa madarakani kwa Shuruti.Ukienda mtaani ndipo utaelewa jinsi CCM inavyopendwa
Kenya Ina struggle alot kwenye mgawanyiko wa nchi ....ie . tribalismHuko kenya wakati wa KANU kulikuwa na wajinga wa aina yako. Leo hii KANU ni marehumu huko Kenya na Bado Kenya ina uchumi mzuri kuliko Tanzania. Ww inaonkena ni mzee, nyie ndio bado mnaamini kwenye ccm na propaganda zake.
Mshana nitumie ile nyimbo ya CCM, acha waisome namba eeeh CCM mbele kwa mbele![]()
Vyuma vya dunia kumshuhudia Mnyama akitumbuiza
Gianni Infantino • Fatma Samoura • Arsène Wenger • Salman bin Ibrahim Al Khalifa • Alejandro Dominguez • Patrice Motsepe • Veron Omba • Augustin Senghor • Ahmed Yahaya • Seidoi Mbombo • FA Presidents in Africa Hii yooote ni kazi ya Simba SCwww.jamiiforums.com
Vyuma vya dunia kumshuhudia Mnyama akitumbuiza
Sent using Jamii Forums mobile app